Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

Mm baada ya kuona dogo anayeshinda kwenye madubu amepata div 2 ya pcm nikaamua kutafuta papers za mitihani hiyo.

Nikakuta kwamba mwaka huu mtihani wa physics F6, definition tu ilipewa marks 5. Halafu hesabu za kidato cha 3 na 4 zilikuwemo nyingi.
Dogo anashinda kwenye madubu!!! Halafu katungua div 2 !!! Asee nimecheka sana .
 
Ni wakati Sasa vijana waingie vyuo vya kati tupate mafundi wa kutosha
 
Ongea wewe mkuu. Nimesema toka mwanzo hii mitihani hamna kitu watu wanabisha.
 
Hili ndipo tatizo la mitihani ya Multiple choice!!!
 
DR. Msonde enzi zake akiwa Katibu Mtendaji wa NECTA angesema matumizi ya vishikwambi kwa walimu yamechangia matokeo mazuri kwa vijana wetu mwaka huu. Yule alikuwa anajuwa kucheza na furusha akalamba unaibu Katibu Mkuu asubuhi tu mapema.
Kwenye unaibu PS hakuna la maana. Huku alikuwa big boss, kule yuko chini ya mtu bila mamlaka
 
angalia eti huu ni mtihani wa form six! Pathetic, nani atashindwa paper kama hii
 

Attachments

You're very true.
 
Waambieni watoto wenu muhas watarudishwa kama njugu, labda waende SUA au udom

Hiyo pepa ya biology 😂😂😂 ahh asee ndo mnaandaa madaktari wa hivi
 
Anasahau vipi Mimi nimemaliza zaidi ya miaka 20 huko hadi leo nakumbuka Archimedes principles na mengineyo yeye anasahau vipi ?
✍️

Wewe unakumbuka sababu ulikuwa na passion masomo ya sayansi kama physics enzi hizo.

Hata wewe ukiulizwa kuhusu trading profit and loss account huwezi kukumbuka ni vitu gani vinawekwa wapi. Japo form one na form 2ulivisoma kwenye book keeping

Ama ukiulizwa kuhusu solar system huwezi kukumbuka mpaka uka google ugelezee,, japo o level ulivisoma kwenye geography
 
Wewe unasema hivyo Mimi Kuna dogo amemaliza degree mwaka huu alipomaliza 6 nikamuuliza kuhusu Newton 3rd Law of Motion hajui na hapo ana Div 2
✍️
Labda all kuwa HGE AU HKL!!! tusidanganyane yaani PCM,PCB,PGM AU PMC ashindwe newton's third law of motion!!!!
 
Somehow that is what to expect when relying on Outdated Curriculum and Content while focusing more on teaching the HISTORY OF SUBJECTS........ History of Physics, History of Biology, History of Chemistry..... History-History-History.......... !!!! 👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • TEACHING.mp4
    2.7 MB
Siku hizi Watoto wa Form I- Form IV hawasomi Supplementary Books kama zamani...
Hata hivi vitabu vya ziada ukivitafuta havipo:
1. Abbot
2. Lambert
3. Tropical Biology
4. Introduction to Biology
Hivi vilikua vinapanua ubongo wa mtoto O- level
Inamuandaa ku solve Complex problem level za juu
Siku hizi ni mwendo wa simple text books+ summary books+ National past papers books
 
Kuna mdingi ni Daktari alinieleza mwaka wao 80s watu waliingia Muhimbili na Div III ya EED.... kama cut point Medicine...
Pepa za 90's na 80's ukiziona utajua mabro na madingi walikaa kitako kujibu pepa, pepa inakunjwa kisawasawa ukitoka na 1 au 2 we kweli ni guru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…