Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

Ndio maana wanafeli sana hata vyuo vya kati.
 
Ila imenishangaza kusikia kuwa Hesabu imeongoza kwa ufaulu kidato cha sita au niseme masomo ya saiyansi ndio yameongoza. Nikawa najiuliza, ni ile ile mitihani ya PCB/M tulikuwa tunafanya sisi wahenga au kuna mabadiliko?
Kuna mabadiliko maku wa sana mkuu
1.sasa walimu ni wengi
2.upatikanaji wa materials
3.NECTA wamelegeza.
 
Sasa mtu kasoma arts wewe unamwuliza maswali ya physics kweli? Kwani wewe ukishtukizwa hapo utaweza? Tuache hizo!
 
Madogo wamepasua ni hatari! Wacha wafaudu matunda ya uhuru!
 
Mitihan ya zamani ilikuwa mirahisi Sana mtu aliyeamua kupambania Elimu lazima angetoboa tu sema watu wengi hawakuipa Elimu umuhimu

So tuache wivu vijana wapo kweye mentally na plus resources zipo then huwezi kupima ubora wa Elimu kwa watu kufeli
 
Sasa mtu kasoma arts wewe unamwuliza maswali ya physics kweli? Kwani wewe ukishtukizwa hapo utaweza? Tuache hizo!
Angekuwa amesopma Arts asingeniomba nimsaidie chuo cha Engineering
 
Nafasi za vyuo ni nyingi kuliko waombaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…