Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
🤣🤣🤣🙌Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🙌Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Kwa lile jitu, kweli Mungu aliamua ugomviAliharibu nchi ya mafisadi na walamba asali, majizi wauza madawa ya kulevya
Alibinya ajira. Tizama Mama anavyozimwaga sasa hivi.Ushetani wa Magufuli ni upi?
Kwa kutunyima haki zetu kwa miaka 6Kama ulikuwa mwadilifu na mfata sheria utamchukia Magufuli kwa lipi?
Hasa MaguKwa hiyo mnafurahia kifo cha Magufuli mnaonyesha wanaokufa mapema ni watu wenye dhambi sana
Kuna muda mwingine Watumishi lazima mjiongezee kipato Nje ya mshahara,lakini siyo wizi maana wengine mkiambiwa hivyo mnawaza Rushwa tu! Funguweni hata Genge la mbogamboga!!!Umesoma hoja za mtoa post lakini? Au uliambiwa hao waliokaa Miaka 7 Bila chochote hawakuwa waadilifu?
Mungu aliamua ugomvi ganiKwa lile jitu, kweli Mungu aliamua ugomvi
Ndio unasema hivyo! Sema kwasababu wewe huna uelewa wowote na ajira za serikali, ila umeambiwa tu uje upambanie legacy ndio ukaja kichwa kichwa kama hivi...
Mpaka Hapo inaonekana wewe hujui chochote kuhusu utumishi wa uma, hivyo nikushauri Kabla hujakurupukia hoja, angalau fanya research kwanza,
Umeacha alama gani duniani wewe,kuwadharau watumishi wa umma ni alama tosha kwa wapumbavu.Ebu fikiria, mtu kama wewe ndiyo matunda ya watumishi tulio nao! Hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa hakuna ufanisi wowote huko makazini, watu wanafanya kazi tu bora liende.
Mbona hakumchukia Makonda na Mpina.Alikuwa anawachukia watumishi waliofoji vyeti feki na watumishi hewa akawatumbua
Magufuli alipendwa Kama alivyo chukiwa.kuna wanao mkumbuka kwa mazuri na Kuna wanao mkumbuka kwa mabaya.
To be honest.....Mimi ni aina ya watu Kama JPM,Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Watumishi wengi ni matapeli, hawafanyi kazi kwa ufanisi zaidi ya kuchukua pesa karibu zote za budget...Hakutuchukia alikuwa realists na siyo mbabaishajiKwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
TrueWatumishi wengi ni matapeli, hawafanyi kazi kwa ufanisi zaidi ya kuchukua pesa karibu zote za budget...Hakutuchukia alikuwa realists na siyo mbabaishaji
Mkipewa pesa nyingi kazi hamfanyi, makazini mnachelewa, mnakuwa viburi na nyodo zinaongezeka.Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Sasa kutokutoa ajira ndio ushetani? Kwani mpaka sasa Mama ameajira watu wangapi?Alibinya ajira. Tizama Mama anavyozimwaga sasa hivi.
Bora alikufa yule mwehu