Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Sasa Kama wwe siyo vyeti feki au mpiga deal,ni sababu ipi ilikufanya umchukie JPM!? Basi lazima wwe utakua na ndg au Jamaa walionyooshwa na Magu kwa ufisadi,na wwe ulikua unanufaika na huo uchafu ndiyo maana ukamchukia JPM!! Bishaa!!?
Kwa Matendo ya Makonda,Sabaya,Ally Happy,Mnyeti,Kihongosi,Mrisho Gambo,Polepole,Bashiru Ally,Kabudi,Job Ndungai,Biswalo Maganga,Mahera,JPM mwenyewe kama una akili timamu huwezi kufagilia upuuzi huo labda uwe mtu uliyefeli na usiye na future,maana wote waumini wa Magufuri kaburi lao linawaka moto.
 
Viongozi wakikiristu wengi wanamambo yaki-Makenzie yule wa shakahola!
 
Sasa Kama wwe siyo vyeti feki au mpiga deal,ni sababu ipi ilikufanya umchukie JPM!? Basi lazima wwe utakua na ndg au Jamaa walionyooshwa na Magu kwa ufisadi,na wwe ulikua unanufaika na huo uchafu ndiyo maana ukamchukia JPM!! Bishaa!!?
Wapi nimeandika kuwa nilikuwa namchukia JPM?
 
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,

1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine

2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!

3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...

Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.

Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Sitii neno, mi nasoma comments za walinda legacy tuu!!
 
Wewe na nani? Jifunze kujiongelea mwenyewe, pili ungekuwa unatoa mfano sehemu angalau moja uliyokwama, unaweza fikiri unakwamishwa kumbe unajikwamisha mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu nionyeshe angalau sehemu moja kunakofanyika kazi kwa ufanisi nije nipaone. Kungekuwa kuna watumishi wanafanya kazi kwa ufanisi nakuhakikishia Tanzania yetu isingekuwa hivi ilivyo leo.
 
Pole mwalimu...tatizo Ninyi walimu ndio huwa mnauza mechi siku ya uchaguzi...maana nyie ndio wasimamiz wa vituo
Unawasingizia tu, wakurugenzi ndio wanauza mechi.....walimu hawana ubavu huo hata kidogo.
 
Leo unaandika utumbo lakini pamoja na utumbo wote ni Mtumishi wa umma aliyekufanya ujue kusoma na kuandika na hata hiyo smart phone yako au laptop ni matunda ya Watumishi wa umma.
Ebu fikiria, mtu kama wewe ndiyo matunda ya watumishi tulio nao! Hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa hakuna ufanisi wowote huko makazini, watu wanafanya kazi tu bora liende.
 
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,

1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine

2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!

3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...

Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.

Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.

Hivyo ulivyoongea hapo vipo kwenye job description ya mwajiriwa?
 
Hivyo ulivyoongea hapo vipo kwenye job description ya mwajiriwa?
Salary increments ipo kwenye mkataba kabisa wa ajira sema umeambiwa tu uje utetee legacy Bila kujua Chochote
 
Salary increments ipo kwenye mkataba kabisa wa ajira sema umeambiwa tu uje utetee legacy Bila kujua Chochote

Mkataba wa Ajira yako unakwambia kila mwaka utaongezwa salary?
 
Watumishi waliteseka Sana kwakweli, humu Jamii Forum zilijaa nyuzi za malalamiko tu sahzi wapo kimyaaa! Kama hawapo vile... Mambo ni kimya kimya Mungu awalinde sana, JK KIKWETE NA SAMIA SULUHU HASAN
KAZI IENDELEE
 
Ugaidi wa mtandao umezidi.
Nawashauri Enyi magaidi; Tafuteni sehemu zingine za kutema nyongo, au mta temeana na kuchanganyikiwa. Yaani bado mnagombana na Kaburi, 2023! Lissu anakula maboga, asali, anaenda ulaya wala hana ya kung'ong'a....Mbowe ndio kabisa, anakula dinner na anapigiwa saluti na Polisi....Nyie mnafanya marathon ya nani mwenye tusi zuri juu ya Kaburi!

Haya, Sumu zenu zinauwezo wa kuwazeesha mapema. Mkumbuke tu there is absolutely nothing you can do. Kwa lugha nyingine hakuna lelote mtakalo enda kulibadilisha. Jina lake linabaki, long after mmesha zeeka na kusahaulika hapa Tanzania. Be productive.
 
Bado unaweweseka na mzimu wa JPM!? Achaa wizi na dhuluma na utakua uhuru!!
We boya nna uwezo wa kukufuga ww pamoja na nzengo yako yote! Halaf naish kwa jasho langu sijawah kumnyima au kumnyanganya mtu! Jaribu kujifunza kutoka kwa wenzako waliokuzidi maarifa! Umma sio serikali kama unavyojilisha materia feki!
 
Mkataba wa Ajira yako unakwambia kila mwaka utaongezwa salary?
Mpaka Hapo inaonekana wewe hujui chochote kuhusu utumishi wa uma, hivyo nikushauri Kabla hujakurupukia hoja, angalau fanya research kwanza,
 
Back
Top Bottom