Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Hii mada hata ukiwakusanya kina pimbi, madenge, pwagu , pwaguzi Dr. love na wengine wenye akili zao watapata kigugumizi watabakia na bonge la
?
 
Mimi ni muuza duka.Mali zote ni halali.Kuhisi kila aliyepata ni mwizi nao ni uchawi.Ndiyo maana kila mti una bango la mganga wa jadi.
Basi Kama wwe ni muuza duka kaa kimya tunapowasema Watumishi wa Umma, maana sisi hadi tunasema hatusemi tu kutoka hewani ni tunayaona na kuyashuhudia wanayofanya huko kwenye office za Umma na ndiyo maana tulifurahia sana JPM alivyokua anawatia adabu!!
 
Ulifurahia alivyowatia adabu?Aliwatia adabu wangapi?Utumishi wa umma ni wa kwenda nao kwa hekima.Miguvu kwa watu wenye magego makomavu ni ujinga.Utakufa kwa presha jamaa yangu.
 
Ulifurahia alivyowatia adabu?Aliwatia adabu wangapi?Utumishi wa umma ni wa kwenda nao kwa hekima.Miguvu kwa watu wenye magego makomavu ni ujinga.Utakufa kwa presha jamaa yangu.
Kwa hiyo wwe kufanya kazi yako Kama Mtumishi wa Umma unataka ubembelezwe!? Eti "utumishi wa Umma ni wa kwenda nao kwa hekima" kweli wwe huna hata akili,na naamini kabisa wwe ni wale Watumishi wenye vyeti feki!!
 
Alisema kwa mazuri lkn naona raia wake wanamkumbuka kwa mabaya total and partially! Yaan marehemu alikuwa m2 m-bad mno
Wwe sijui unaishi Dunia gani, hata unachoongea hueleweki, report ya juzi tu ya CAG Watanzania wengi sana walimkumbuka JPM,na walisema JPM angeshamalizana na Mafisadi immediately after the report!!
 
Alikuchukia wewe kwa kuwa ulikuwa na cheti fake lakini sisi watumishi wa vyeti original hatukuwa na shida naye kabisa.
Mkuu acha basi, sitamani kuwa na rais wa namna hiyo tena, kiufupi alitaka watumishi waishi kama mashetani! Halafu anakuja kwa wananchi ambao mosi wanawachukia watumishi kwa kuhisi wanafaidi sana pili wengi ni mbumbumbu anawambia in public "kuliko kujiongezea sisi akimaanisha he was also inclusive mishahara bora hiyo pesa tujenge barabara as if waliomtangulia hawakujenga hayo mabarabara wananchi kama kawaida wakashangilia. Viongozi walioshiba dharau namna hiyo ndiyo huwa wanaongea kwa viburi namna hiyo. Nakumbuka mwaka 2009 au 2010Mh. Kikwete aliwahi kusema SIITAJI KURA ZA WATUMISHI KWANZA NI WACHACHE HATA WAKININYIMA KURA WAO NA FAMILIA ZAO! Viburi vya madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe kama ni mwizi, fisadi, muuza madawa ya kulevya au una vyeti fake utampendaje Rais wetu Hayati Magufuli?
 
You are wrong very wrong. Kupenda au kutopenda Wafanyakazi haiko kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, kilichomo ni kutetea na kuboresha maslahi yao. Katika muda wa Urais wake Magufuli. Wafanyakazi wamefaidika marudufu mara 4. Kwanza, kima cha chini kilipanda, maana yake TAKE HOME PAY ya kila mtu ilipanda by 26% across the board. Hiyo wewe unaita kupandisha mshahara. Pili, elimu bure. Gharama ya Private schooling Kindergarten ni milioni 3 na darasa la kwanza 1.5m/=. Hii ina maana Mfanyakazi kaokoa shilingi milioni 4.5 kwa kila mtoto, wastani wa Tanzania sensa iliyopita ni watoto wanne. Tatu, huduma zimekuwa bora. Ukienda shule mwalimu yupo, hospital nurse yupo, idara ya pensheni mtumishi yupo wanakuhudumia. Kabla ya Magufuli hapakuwa na discipline kama hiyo. Mwisho, nne, Magufuli kaokoa makanikia yetu na mikataba mibovu ya TTCL tuliyokuwa tupunjwe, tunaibiwa. Yote hii imeongeza huduma.
Kwajinsi ulivyoandika nahitimisha kwamba uelewa wako wa mambo ni mdogo sana, ungekuwa timu ya mpira wa miguu ningekuita Polisi mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaosema eti wanaohoji walikuwa na vyeti feki,

Mmejiuliza baada ya kuwaondoa hao mafisadi na wenye vyeti feki,
Hao waliobaki ambao wana vyeti original pamoja na wale ambao hawana ufisadi wowote aliwafanyia Nini?
Zaidi ya kuwakalisha Miaka 7 Bila chochote?
Yaani ilifikia hatua hata mtumishi ukivaa ukipendeza unaelekea kazini,
Mzee ananuna.,

Kwakweli acha Mungu aitwe Mungu
 
Kwani unadhani watu wengine wote tunawapenda watumishi wa umma?
Tuwapende kwa lipi la maana?
Kwa productivity yenu ndogo?
Kwa ulaji wenu wa rushwa?
Kwa kuzungusha watu maofisini bila kuwahudumia?
Kwa kutumia muda mwingi kupiga soga badala ya kufanya kazi?
Kwa uzembe na ubabaishaji uliojaa makazini mwenu ndiyo unataka tuwapendee?
Yani tuwapende kwa lipi haswa?
Kwa kupokea mishahara na marupurupu msioyafanyia kazi?
Kwa kuwa kwenye nafasi za kazi bila kufanya kazi? Mnakula pesa zetu za kodi bila kuzifanyia kazi. Kwa hiyo ndo unataka tuwapende kwa hayo?
Fikiri vizuri.
Wewe na nani? Jifunze kujiongelea mwenyewe, pili ungekuwa unatoa mfano sehemu angalau moja uliyokwama, unaweza fikiri unakwamishwa kumbe unajikwamisha mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukivaa viatu vyake utapata majibu.
 
Hakuna na lolote,zaidi ya upumbavu,ujinga na ulimbukenu wa cheo.Mungu hapendi wanaojikweza.
 
Uwizi sio sifa nzuri mkuu acha hiyo tabia. Mwamba hajafa bado anaishi ndio maana haipiti siku bila uzi wa kumuhusu yeye kuletwa humu, sasa kama kikundi cha watu wachache tu wa jf kila siku wanamuwaza jiulize huko nje hali ikoje. Hata wezi na mafisadi wakitaka kufanya yao lazima wahisi sauti ya mwamba ikiwakemea ila wanashupaza shingo.
Huko nje wapo mbumbumbu ambao wengi hawajui madhara yake, wengi ni bendera hufuata uelekeo wa upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana akawashuhulikia, maana alikua anazijiua tabia zenu chafu za ufisadi! Na JPM ulikua ni mpango wa deep State kuwashuhulikia Watumishi wala Rushwa! Na bado msizani kufa kwa JPM huo mpango nao umekufa,bado atakuja another JPM very soon!!
Hahaha eti deep what! Anyway ameongea member mmoja kwamba watakuja wataondoka watatuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom