Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Umesoma hoja za mtoa post lakini? Au uliambiwa hao waliokaa Miaka 7 Bila chochote hawakuwa waadilifu?
Kuna muda mwingine Watumishi lazima mjiongezee kipato Nje ya mshahara,lakini siyo wizi maana wengine mkiambiwa hivyo mnawaza Rushwa tu! Funguweni hata Genge la mbogamboga!!!
 
Ndio unasema hivyo! Sema kwasababu wewe huna uelewa wowote na ajira za serikali, ila umeambiwa tu uje upambanie legacy ndio ukaja kichwa kichwa kama hivi...

Ajira gani uliyonayo serikali? Tujue kama mkataba wako unasema uwe na ongezeko la salary kila mwaka
 
Mpaka Hapo inaonekana wewe hujui chochote kuhusu utumishi wa uma, hivyo nikushauri Kabla hujakurupukia hoja, angalau fanya research kwanza,

I think ww ndio ujui kitu kabisa

Ni mkataba wa Kada gani uliyonayo ambao unasema kila mwaka unatakiwa kuongezwa salary?

Lete evidence hapa sio unaongea Tu mambo ya hewani
 
Ebu fikiria, mtu kama wewe ndiyo matunda ya watumishi tulio nao! Hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa hakuna ufanisi wowote huko makazini, watu wanafanya kazi tu bora liende.
Umeacha alama gani duniani wewe,kuwadharau watumishi wa umma ni alama tosha kwa wapumbavu.
Alikuwa anawachukia watumishi waliofoji vyeti feki na watumishi hewa akawatumbua
Mbona hakumchukia Makonda na Mpina.
 
Magufuli alipendwa Kama alivyo chukiwa.kuna wanao mkumbuka kwa mazuri na Kuna wanao mkumbuka kwa mabaya.

Na hili ni Kwa kila mtu na kila kiongozi,

Kuna watu wanasema hakuna rais ambae alikuwa Bora duniani kama Idd Amani
 
To be honest.....Mimi ni aina ya watu Kama JPM,
JPM alikua ni mtu wa Revenge Kwa wote waliowai kumuinuliaga mabega.....
For sure ijumaa Nilienda ofs fulani kufuatilia issue Fulani Fulani yule mjinga still Bado ni kijana he has a long way to go....
Mimi na tabia ya kujishusha sana na Huwa ni very humble na msikivu sana.....
Huwaga sipendi sana kwenda ofisi za UMMA alaf nimkute mtu nianze kumfundisha vitu vya kufanya.......
Yule kijana ana lugha ya jeuri, kiburi na kujikweza sana..
Ile treatment yake kwangu akadhania Mimi ni mnyonge na mlugaluga..................................
Siku akiitaji nimfanyie operation badala ya goti namfanyia operation ya kichwaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

NB:
Ushaur wangu Kwa vijana tujifunze kuheshimu watu maana huwezi jua kesho itakupa nini......


Wasalaam
 
Reactions: Ame
Watumishi wengi ni matapeli, hawafanyi kazi kwa ufanisi zaidi ya kuchukua pesa karibu zote za budget...Hakutuchukia alikuwa realists na siyo mbabaishaji
 
Mkipewa pesa nyingi kazi hamfanyi, makazini mnachelewa, mnakuwa viburi na nyodo zinaongezeka.

Magu aliwanyoosha mkawa na adabu ya kazi, kale ka job security kaliondoka maana muda wowote ukizingua anakula kichwa.

Magu alikuwa mwamba, acha kumlinganisha na vitu vya ajabu ajabu.
 
Reactions: Ame
Vyeti feki mnashida gani na marehemu Magufuli si mmeshalipwa michango yenu na Mama Samia?bado tu hamuamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki
 
Unatetea ujinga ungekuwa umeajiriwa ungejuwa huo mkataba umeandikwa vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…