Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Kwann asiwachukie kama utendaji wao wa kazi ni mbovu kiasi cha kusababisha bandari yetu kuuzwa
 
I think ww ndio ujui kitu kabisa

Ni mkataba wa Kada gani uliyonayo ambao unasema kila mwaka unatakiwa kuongezwa salary?

Lete evidence hapa sio unaongea Tu mambo ya hewani
Jobless bana unabishana na watu walioajiriwa
 
Yeye Magufuli alikuwa muadilifu na mfuata sheria?
Yeye akiwa siyo je ni justification ya wengine kutofuata sheria? Kwani na yeye si angeadhibiwa tu kama anavyoadhibu, kwanini watanzania hatumwadhibu kama alikuwa mvunja sheria? Moja kwa moja unaona matatizo tuliyonayo kama taifa, kwamba hatujui nini tunataka
 
Sasa kutokutoa ajira ndio ushetani? Kwani mpaka sasa Mama ameajira watu wangapi?
Yule alikuwa shetani Ibilisi mwenyewe kabisa.
Kwa kweli waTz yatupasa kumshukuru sana muumba wetu mara kwa mara. Alitupusha na mateso hatari sn
 
Vyeti feki mnashida gani na marehemu Magufuli si mmeshalipwa michango yenu na Mama Samia?bado tu hamuamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki
Mnajizima data sio! Hivi seriously hammjui aliyekufa na PhD fake akazikwa nayo Chato?
Lile shetani lenu ndo mfano halisi wa vyeti feki
 
Kifo
Kila Nafsi itaonja mauti, usifurahie kifo cha mwenzio huju hujui kifo chako kitakuaje.
Kifo cha magufuli ni furaha kuu ya watu wengi kwasababu yeye hakujali uhai wa wengine kana kwamba yeye damu yake ilikuwa mekyuri! Narudia tena bora alikufa yule mjahalana!
 
Adhabu yake ilikuwa ni kwenye box la kura, lakini akapora uchaguzi! Na pia kumbuka kwa katiba hii rais hashitakiwi maana yuko juu ya sheria.
 
Kifo

Kifo cha magufuli ni furaha kuu ya watu wengi kwasababu yeye hakujali uhai wa wengine kana kwamba yeye damu yake ilikuwa mekyuri! Narudia tena bora alikufa yule mjahalana!
Jisemehe mwenyewe embu ni dhibitishie watu gani wengi waliofurahia kifo cha Magufuli zaidi yenu vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, wapigaji, wanasiasa matapeli,mimi binafsi sijafurahia kifo chake niambie ni watu gani wengi waliofurahia huwa hatupendi unafiki na uzushi kuwasingizia watu wengine kama nyie mlikuwa na chuki na Magufuli kwa maslahi yenu binafsi jitajeni wenyewe
 
nadhani katika watu ambao wanatufelisha kuendelea ni hawa wafanyakazi unao wasema! Sababu wameendekeza rushwa na upigaji hawana huruma na rasilimali za nchi hii,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…