Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

We jamaa ni muongo hatari
 
Kwani unadhani watu wengine wote tunawapenda watumishi wa umma?
Tuwapende kwa lipi la maana?
Kwa productivity yenu ndogo?
Kwa ulaji wenu wa rushwa?
Kwa kuzungusha watu maofisini bila kuwahudumia?
Kwa kutumia muda mwingi kupiga soga badala ya kufanya kazi?
Kwa uzembe na ubabaishaji uliojaa makazini mwenu ndiyo unataka tuwapendee?
Yani tuwapende kwa lipi haswa?
Kwa kupokea mishahara na marupurupu msioyafanyia kazi?
Kwa kuwa kwenye nafasi za kazi bila kufanya kazi? Mnakula pesa zetu za kodi bila kuzifanyia kazi. Kwa hiyo ndo unataka tuwapende kwa hayo?
Fikiri vizuri.
 
Kwani nani aliwambia muwe wafanyakazi wa serikali serikali itaendelea kuwaburuza tu kwa sababu mko chini yao
 
Kwasababu wengi ni wajinga na Wala rushwa
 
Mzee ameshalala, hawezi kuamka na kujitetea.

Tuendelee kumuombea Pumziko la milele....

Kilicho muhimu kwasasa ni kuweka utaratibu sahihi utakaoweza kumfanya Rais atawale kufuata sheria na taratibu.

Utaratibu huo ni Katiba Mpya.
 
Kum wewe!
 
Wakati hata yeye awali alikuwa mtumishi wa umma.
 
Ok sawa, umejitahidi sana kufanya ile kazi. Nenda sasa ukachukue posho yako
 
Ngoja Sukumagang na Mataga waje huku wakiwa wamejawa na jazba, kukutukana na kukuita mpiga dili na mwenye vyeti feki.
Ha
Ngoja Sukumagang na Mataga waje huku wakiwa wamejawa na jazba, kukutukana na kukuita mpiga dili na mwenye vyeti feki.
Halafu huwa wajinga kweli!!! Huwa wanaamini kuwa mtu yeyote ambaye hakubaliani na baadhi ya mambo ya JPM basi huwa ni vyeti fake au mpiga dili!!!
 
Siku ukijua kwamba kuajiriwa ni utumwa hutakuja kulalamika. "Retire Rich retire young"
 
Ila enzi za JPM watumishi waliheshimika sana mitaani sijui ni kwanini.
Sijui ni watumishi gani unawazungumzia.
Sie wengine tulidharaulika sana wakati wa shetani lile.
Mana ulikuwa unaitwa unafokewa jadharani mbele ya wananchi, refer mikutano ya Makonda, Ali Hapi na Ngosha mwenyewe.
Tulikuwa tunawekwa ndani na maDC kiholela tu. Halafu we unasema eti tuliheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…