Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.

ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.

seriously, hiki alichokiongea ni nini

Tafsiri; "Vuta picha kwamba industry ya tumbaku ingekuwa na kinga dhidi ya malaya kushtakiwa" anamalizia na msisitizo ule wa "come on" 😂😂

hii sentensi hata haieleweki wala haina maana, ama raisi kaanza kuvuta cocaine ??

1649883952714.png
 
nadhani hata Putin alishapiga hesabiu za kuanzisha vita ipindi cha Biden maana taifa likiongozwa na mtu dhaifu, Putin anachekelea anaona ndio nafasi ya kufanya jambo lake.
 
hakuna rais hapo, rais anapepesuka akitembea ,mara kwa mara anajifuta machozi ya kizee ....................
 
Hiki ndio wengi hawajui
Ni taasisi Ila inaongozwa na watu mawazo ya raisi yanachambuliwa na wasaidizi na kutathmini kipi kina manufaa sasa yeye mtu wa kusahau ivyoo kuna walakini kuwa yupomtu anayeongiza nchi tofauti na yeye kama Yale ya Mugabe,
 
sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.

ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.

seriously, hiki alichokiongea ni nini

Tafsiri; "Vuta picha kwamba industry ya tumbaku ingekuwa na kinga dhidi ya malaya kushtakiwa" anamalizia na msisitizo ule wa "come on" 😂😂

hii sentensi hata haieleweki wala haina maana, ama raisi kaanza kuvuta cocaine ??

View attachment 2186661
Wewe sio kipimo cha Biden kipimo cha Biden wanacho wamerekani wenyewe, Lini ulishuhudia maandamano Marekani toka Biden awe rais kwamba wamarekani sasa hawana imani naye kama vile kwa Trump alivyokuwa anapingwa?

Nadhan Biden ni rais genius sana kwa marais waliopita Marekani.
 
sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.

ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.

seriously, hiki alichokiongea ni nini

Tafsiri; "Vuta picha kwamba industry ya tumbaku ingekuwa na kinga dhidi ya malaya kushtakiwa" anamalizia na msisitizo ule wa "come on" [emoji23][emoji23]

hii sentensi hata haieleweki wala haina maana, ama raisi kaanza kuvuta cocaine ??

View attachment 2186661
Kwa wenzetu rais ni taasisi sio mtu binafsi. Huku africa wana akili timamu na hotuba nzuri wamefanya nini cha maana.
 
Biden anasahau au kuchanganya madesa sana ila sio tatizo kabisa kwa Marekani. Urais wa Marekani haupimwi kwa kupiga porojo na kubwabwaja, unapimwa kwa maamuzi na vitendo ambavyo havifanyiki live kwenye media.

Wanaangalia employment rate, migration, foreign policy, security, economy, welfare, health, etc. Hawaangalii hotuba tu kama sisi Banana Republic ambapo Waziri anatangaza kumsimamisha kazi daktari pekee wa kituo alafu wananchi wa pale wanashangilia
 
nadhani hata Putin alishapiga hesabiu za kuanzisha vita ipindi cha Biden maana taifa likiongozwa na mtu dhaifu, Putin anachekelea anaona ndio nafasi ya kufanya jambo lake.
Utakuwa unaota ndoto tena ya saa saba mchana,Putin mwache ahangaike kwanza na Zelensiky ambae anamtoa jasho,huko kwa US ni habari nyingine
 
Uzee siyo Ugonjwa sasa apone nini?Asubiri atangulie mbele ya haki ndiyo atapona.
Swala la kutangulia mbele ya haki unataka kukufuru sasa.Wangapi wanatangulia wakiwa vijana na watoto wadogo kabisa.Pengine wewe utatangulia ukamwacha Biden.
 
Back
Top Bottom