sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Dua la kuku!Marekani wamepigwa pakubwa..
Uraisi ni taasisi hivyo udhaifu wa biden sio udhaifu wa serikali.nadhani hata Putin alishapiga hesabiu za kuanzisha vita ipindi cha Biden maana taifa likiongozwa na mtu dhaifu, Putin anachekelea anaona ndio nafasi ya kufanya jambo lake.
Uraisi ni taasisi hivyo udhaifu wa biden sio udhaifu wa serikali.
Ni taasisi Ila inaongozwa na watu mawazo ya raisi yanachambuliwa na wasaidizi na kutathmini kipi kina manufaa sasa yeye mtu wa kusahau ivyoo kuna walakini kuwa yupomtu anayeongiza nchi tofauti na yeye kama Yale ya Mugabe,Hiki ndio wengi hawajui
Uzee siyo Ugonjwa sasa apone nini?Asubiri atangulie mbele ya haki ndiyo atapona.Ninamuombea apone, uzee una mambo mengi
Maisha yalivyo unaweza kutangulia na kumwacha akiwa rais wa nchi.Uzee siyo Ugonjwa sasa apone nini?Asubiri atangulie mbele ya haki ndiyo atapona.
Wewe sio kipimo cha Biden kipimo cha Biden wanacho wamerekani wenyewe, Lini ulishuhudia maandamano Marekani toka Biden awe rais kwamba wamarekani sasa hawana imani naye kama vile kwa Trump alivyokuwa anapingwa?sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.
ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.
seriously, hiki alichokiongea ni nini
Tafsiri; "Vuta picha kwamba industry ya tumbaku ingekuwa na kinga dhidi ya malaya kushtakiwa" anamalizia na msisitizo ule wa "come on" 😂😂
hii sentensi hata haieleweki wala haina maana, ama raisi kaanza kuvuta cocaine ??
View attachment 2186661
Kwa wenzetu rais ni taasisi sio mtu binafsi. Huku africa wana akili timamu na hotuba nzuri wamefanya nini cha maana.sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.
ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.
seriously, hiki alichokiongea ni nini
Tafsiri; "Vuta picha kwamba industry ya tumbaku ingekuwa na kinga dhidi ya malaya kushtakiwa" anamalizia na msisitizo ule wa "come on" [emoji23][emoji23]
hii sentensi hata haieleweki wala haina maana, ama raisi kaanza kuvuta cocaine ??
View attachment 2186661
Yah ni kweli lakini ukiwa mzee unajua nini kinafuataMaisha yalivyo unaweza kutangulia na kumwacha akiwa rais wa nchi.
Utakuwa unaota ndoto tena ya saa saba mchana,Putin mwache ahangaike kwanza na Zelensiky ambae anamtoa jasho,huko kwa US ni habari nyinginenadhani hata Putin alishapiga hesabiu za kuanzisha vita ipindi cha Biden maana taifa likiongozwa na mtu dhaifu, Putin anachekelea anaona ndio nafasi ya kufanya jambo lake.
Swala la kutangulia mbele ya haki unataka kukufuru sasa.Wangapi wanatangulia wakiwa vijana na watoto wadogo kabisa.Pengine wewe utatangulia ukamwacha Biden.Uzee siyo Ugonjwa sasa apone nini?Asubiri atangulie mbele ya haki ndiyo atapona.