Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
Ongeza nyama kwenye tangazo lako. na useme upo mkoa gani? je unaweza kusafiri kama ni mkoa mwingine? kwa gharama za nani? unapimaje ukubwa au udogo wa kisiki? kuna miti ya kupanda na asili, je yote ni bei moja? n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.