Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

Helo JF
According to EWURA bei elekezi za mafuta zimeshuka lakini cha kushangaza kwa wana-Tarime, tunanunua mafuta kwa bei kubwa nadhani kuliko sehemu nyingine hapa nchini. Kama niliwasoma vizuri, Kigoma ndo ina bei kubwa kuliko sehemu nyingine nchi. Taarifa: Bei ya mafuta kwa Tarime ni TShs 2450. imekuwa hivyo for the last six months. The dealers here have only an upward tendency, bei huwa hazishuki. Musoma, say 70Km from here bei ni Shs2216. Kwa nini tofauti iwe zaidi ya Shs200.

Dealers wa Tarime ni Peter Zakaria (Huyu akiguswa anaweza goma kuuza, rejea mabasi yake hupandisha bei hovyo, akiguswa anapaki, that is Peter Zakaria for you!!) na Mathayo. Hawa hawaambiwi chochote. Hata kama ni liberalized market, hapa it is a KILL. Someone Pls help us shout NO to these thieves!!!!

Tunaumia sana.
 
Du!Kumbe wezi eee?Nilikuwa nampango wakuwatumia kumbe ningelia!Wakuu nashukuru kwamsaada wenu humu Jf...Nikitaka kuwatumia nitaenda mojakwamoja kununu tiketi cash nanitawarekodi mazungumzo yao nami wakati wamanunuzi ikiwa nipamoja nahoja yakuthibitisha muda wakuripoti!Makampuni nawatu wanamna hii nikwenda nao kijasusi tu!
 
fast jet kwa huduma wanafanana na basi flani hivi lina itwa adventure(iringa - dodoma).
 
Utapeli wa FastJet (ndege) na Star Times (visimbuzi) hauna tofauti
 
Only good thing about FastJet...
Wamesaidia kuwafanya PrecisionAir kuwa wanyenyekevu kwa wateja. Dharau na majivuno yao yote yamekwisha!.

Big up, Fast Jet..!!!!
 
tatizo ni kupenda vya promo!! mbona precision air hamna malalamiko kama haya!!!
 
tusipende bwerere! mala nyingine tufikiri!!!.....kwa nini fast na sio kampuni nyingine!
 
Kinachonifurahisha kwa sie waTanzania tunalalama we lakini mwisho wa siku hakuna anaechukua hatua ama anaetoa solution ya tatizo so Tanzania yetu na wananchi wake wamebaki watu wa kulialia tu mpaka Yesu arudi
 
Kwa mujibu wa booking yako,
Ulitakiwa kulipia kabla ya saa nane na dakika ishirini na moja siku ya tarehe 9. Ulienda kulipia lini na mda gani?
 
sasa anabisha nini ni kweli sisi ni mapoyoyo
 
mi nilisemaga mwanzo wakaniambia nimetumwa na precision kitu air Tanzania bana ndege yao moja lakini usafiri mororo
 
Kwa ninavyopenda shortcut, ningemchomoa huyo dada kaunta nikamchapa ngumi za buku saba afu mida hii ndo ningekuwa natolewa kwa dhamana
 
Watawatapeli na kuwanyanyasa watu na vyombo husika vya serikali vimekodoa macho tu watu wanadhulumiwa
 
Pole sana mkuu. Hata hivyo wakulaumiwa zaidi ni Mamlaka husika. Kwa nini wanaposikia matangazo yao kwenye vyombo vya habari na malalamiko kutoka kwa wadau hawawaiti na kuwarekebisha utaratibu sahihi wa uendeshaji wa biashara yao. Wanapokaa kimya wadai wanawahisi pengine wana maslahi kwenye hiyo Kampuni.Jitokezeni kujibu hoja za Wadau.
 
Binafsi sijawahi kukutana na kero kutoka kwa FastJet zaidi ya huduma zao Bora na za gharama nafuu.
Mtoa mada huenda ulikwenda kulipia wakati muda uliopangiwa ukiwa ume-expire,
Juzi tu nimetoka kumnunulia mtu Tiketi kwa Tsh 43,000 JRO-DAR... Fare 32,000 Taxes 11,040
Pia Bei ya Tiketi y ndege siyo Fixed, inabadilika muda wowote, unaweza kuulizia bei sasa hivi na ukitoka kidogo ukarudi ukakuta imeshabadilika.
Hivyo malalamiko yako haya kuna mahali ulishiriki kujikosesha flight (kwa uzembe) au una lengo la kuwaharibia biashara yao.
Pia kuhusu Reporting time, wameonesha kabisa kuwa unatakiwa uripoti 40 minutes before departure. Na kwa msisitizo ukienda kukata tiketi huwa wanakushauri uripoti hata saa moja kabla ya kuondoka, ukizingatia haya, kamwe hutaachwa na Ndege na hutakumbana na unachoita Uhuni wa FastJet...

FastJet - Safiri kwa uhakika na kwa bei nafuu.....
 
Wahenga walisema buure aghali,bado nitapanda Precision Air ,hiyo Fastjet(daladala) tuwaachie wenyewe bana.
 
fast jet kwa huduma wanafanana na basi flani hivi lina itwa adventure(iringa - dodoma).

Kuna basi fulani linaitwa BEDUI, Fastjet wanafanana nao sana kw huduma na kila kitu.

Precesion saizi go & return ni 199,000 sasa kwa nini ukakate tiketi one way 154,000??? Mimi nadhani the best option ni Precesion ili kuepuka usumbufu wa kitapeli wanaoufanya saizi.
 
Hapo mtawalaumu fastjet bure,wabongo washaingia kati hapo wanachakachua tkt.ninaamini kabisa kuna staff wakisaidiana na wenzao wanabook tkt zote kisha wanaziuza kwa watu wao wanaowajua huku wakipewa cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…