Leonileo8809
Member
- Dec 23, 2012
- 18
- 2
Helo JF
According to EWURA bei elekezi za mafuta zimeshuka lakini cha kushangaza kwa wana-Tarime, tunanunua mafuta kwa bei kubwa nadhani kuliko sehemu nyingine hapa nchini. Kama niliwasoma vizuri, Kigoma ndo ina bei kubwa kuliko sehemu nyingine nchi. Taarifa: Bei ya mafuta kwa Tarime ni TShs 2450. imekuwa hivyo for the last six months. The dealers here have only an upward tendency, bei huwa hazishuki. Musoma, say 70Km from here bei ni Shs2216. Kwa nini tofauti iwe zaidi ya Shs200.
Dealers wa Tarime ni Peter Zakaria (Huyu akiguswa anaweza goma kuuza, rejea mabasi yake hupandisha bei hovyo, akiguswa anapaki, that is Peter Zakaria for you!!) na Mathayo. Hawa hawaambiwi chochote. Hata kama ni liberalized market, hapa it is a KILL. Someone Pls help us shout NO to these thieves!!!!
Tunaumia sana.