Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

Wana udhaifu katika coordination, marketing na customer care. Wanahitaji sana kurekebisha.
 
Nyinyi si mlikua mukiishabikia FastJoke. Sasa tena nini?!
Wajuvi wa mambo haya tulikua tunasoma comments zenu tu!
Ol in ol poleni kwa wale waaathirika, na Musiache mbachao kwa msala upitao
 
Biashara za kihuni kweli hizo. tatizo usikute walio ngazi za juu hawajui kinachoendelea. bali hao wanapokea fedha ndio wanaoharibu biashara.
 
sasa unabisha nini tena wewe ndiye poyoyo namba moja
Asante kwa matusi brother, ila ukubali ukatae ccm tutaendelea kutawala nchi for next 50 years or so..! Maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana..! Ccm hoyeee, hoyeeee..!
 
VIPI sosoLISO HERI YA MWAKA MPYA RAFIKI YANGU MPENDWA.NIPITE HAPO OFICINI KWAKO KARIBU NA TWB UNIPE HATA 50 NISUKUME MWISHO WA MWEZI.

Heri ya mwaka mpya na kwako pia.. Ha ha ha.. karibu upite nivea ila wanitisha.. ndo kwanza tarehe 10 cash imeshakata..!
 
Pole kaka kwa yaliyokukuta ila mimi nimepanda kwa hiyo bei 32000 + vat return na nilifanya booking online an then nikaenda kulipia ofisi zao ila sijui kama wewe ulilipa ndani 42 hours maana ukichelewa hapo ndo inakuwa shida nyingine halafu kumbuka kuwa cheap flight siku zote ndo lazima ziwe na madhara sio itakuwa mteremko kama ndege zingine kwamba ukilipa unabeba kilo zako kadhaa for free.
Kwa uwepo wangu ni kwamba hii ndege ni bei rahisi sana ukibook one week before safari yako na ukaenda kulipa ontime na pia lazima masharti yao yawe makali sana kwa maana kwanza kwa mfano ukichelewa kidogo ndo unakuta counter imefungwa na ukiwa na mzigo mwingi itabidi ulipie ukitaka maji lazima ulipie kinywaji which naona ni sawa tu ila precission hela yao iko juu ndo maana unapewa vitu bure.
Msiwalaumu sana i love them na ndo wanaleta changamoto kwenye usafiri wa anga maana precision walikua wanajiona babkubwa sana
 
Wakuu labda mimi nina bahati au pengine mleta hoja hawakuelewana na muhudumu wa Fastjet.

Binafsi safari zote za kikazi (zinazohusisha Arusha na Dar) nasafiri na fastjet kwa sasa, Precision nimewakimbia kabisa.

Nimeshasafiri na fastjet zaidi ya mara 8 (return tickets) na mara 6 nimelipa nauli ya chini kabisa ya Tsh. 32,000 na mara 2 nimelipa around Tsh. 55,000 hivi.

Nafikiri pengine watu hawazingatii muda wa kwenda kulipia booking zao, binafsi huwa na book safari zangu at least two weeks before na nikiisha book siku hiyo hiyo naenda kulipa pesa yao. Hii inaepusha usumbufu unaoweza kutokea wa bei kubadilika kadiri muda unavyosogea kuelekea siku ya safari.

Nimesikia matangazo yao kuwa unaweza sasa kulipia kwa MPESA, nafikiri hii ndo itaondoa usumbufu wa kubadilishiwa nauli siku ukienda kulipia.

Huo ndo uziefu wangu na Fastjet kwa safari nilizofanya nao.

Ooh nimesahau, faida yao nyingine ni kuwa wanajali sana muda.....on-time departures 100% mpaka raha!!
 
nafikiri kulikuwa na kutoelewana, mimi ninavyojua bei zao zinakuwa rahisi pale unapo fanya booking mapema. kwa mfano, kama umefanya booking kwa ajili ya mwezi wa nne, bei inakuwa ndogo kuliko ukifanya booking leo au one day before your journey. nafikiri hawakukuambia hili ndio maana ukakuta bei kubwa. siku uliyobook ilikuwa cheap ila ukaja kulipa late ndio maana ukakuta bei kubwa. usikasirike jipange vizuri wakati mwingine ili usipate usumbufu kama ulioupata. nawashauri watu wengine ambao hawajapanda fastjet, kuuliza utaratibu mzima wa safari kuanzia bei za tiketi na bei za mizigo. mi nimepanda na nafurahia huduma zake na hii yote kwa sababu nilifanya utafiti wa bei zao na utaratibu wao wa safari. GOD bless you.
:smiling:
ilinibidi nirudi kwa basi maana waliniudhi sana hawa watu go an return hapo mwanza wananicharge 380,000/=AKATI YAANI NILIJUA NIKIIBWA SANA NI LAKI MBILI ? SIPANDI TENA HIYO FAST JET KWA KWELI KILA WANAOKUJA WANAWAAMBIA TIKETI ZA KUANZIA 32,000/-ZIMEISHA
 

Wana JF leo nimefedheheshwa sana na majibu yaliyotolewa na office za FastJet mara baada ya kuamka asubuhi na mapema na kufanikiwa kufanya booking online kwaajiri ya kusafiri kesho kuelekea Kilimanjaro, nilifanikiwa kufanya process zote na kisha kuprint karatasi ya uthibitisho niliyotumiwa kwenye mtando kana inavyoonekana hapa chini. Cha ajabu nilipfika office za Fastjet mkabala na office za British Council kwaajili ya kulipia Total Price TZS 75,040/= nilijibiwa na mhudumu aliyepo kulia ukiwa unainigia mlangoni kuwa nanukuu " Kuanzia asubuhi hii bei ni Tsh 154,000/= kwa maana hiyo booking yako ni batili? na siwezi kukuuzia, je haki iko wapi? hawa ni Fastjet au Fastjockes? naomba mnifahamishe haki yangu nitaipataje siku nyingine?




We have made the following booking for you:





Itinerary
Booking Reference: FATT3B Date of Issue:


CONTACT INFORMATION PASSENGER INFORMATION FLIGHT TICKET NUMBERS
MR WILLIAM T.W
MR WILLIAM T.W

DEPARTING:
Date Thu 10 Jan 13 All Times Local Flight-Number Cabin (book class)
From: Dar es Salaam Departure 10:30 FN 0151 (HK) Y (x)
To: Kilimanjaro Arrive 11:50
Info Flight 1: Check in closes 40 minutes before departure.
Rules Flight 1:
-Tickets are non-refundable.
-No name changes are allowed for any reason after ticket is purchased.
-A passenger is considered a no-show after the flight has departed, they miss the check-in desk closure or fail to board the aircraft within the required time.
-The ticket is non-refundable if unused.
-An administration charge applies to recover government taxes.
- Check-in closes 40 minutes before departure - All flight changes must be made 24 hours before the flight orignally booked - No change will be allowed within 24 hours before the flight -All fees and charges will be made in the currency of the original booking.
- Payment of change fee and ancillary products must be immediate for products and changes to be affected -Baggage is subject to a fee of $5 per bag.
-Only one bag allowed per passenger.
-You can carry 20kgs for the $5 fee.
-The passenger can pay for excess weight at a rate of $5 per kg up to a maximum of 32kgs.
- Fare differences apply per passenger and flight.
-Your new fare will be at least the fare you originally booked or may be more.
-You cannot change to a lower fare.
-No refund will be applicable if a lower fare is available.
-Fare difference is the difference (if any) between the fare orignally booked and the new fare available.
-The fare difference maybe substantial.
- Flight date changes are permitted subject to a fee and the applicable difference in the fare available.
-Origin and destination changes are not permitted.
- The passenger must make all date and flight changes 24hours before departure.
-After which time the passenger is committed to the reservation.
**Unaccompanied minor** Children aged less than 14 years are not allowed to travel unaccompanied, they can only travel with an adult.
If in doubt please ask for ID .
- Check in closes 40 minutes before departure - No name changes or refunds.


PRICING PAYMENT
Please pay for this booking at the Airlines office or airport ticket office by 09Jan2013 14:21 (DAR) otherwise the booking may be cancelled.
Price TZS 64000
Tax/Charge HY TZS 960
Tax/Charge TZ TZS 10080
Total Price TZS 75040
Agent Name: Agent ID: Agent Office:

Pamoja na kwamba nahisi pia una haki kutokana na ticket yao kuonyesha ni lini wapaswa kulipia lakini inakubidi ufahamu yafuatayo kuhusu conditions of carriage za fastjet:
5.3 Reasonable Time Limits For Payment
Te following time limits are considered reasonable by fastjet for the settlement of all fares and taxes in full:
48 hours of booking if travelling within a month
24 hours of booking if travelling within 4 days
6 hours of booking if travelling in less than 4 days
1 hour of booking if travelling in less than 24 hours
 
shamba la bibi ni hapa bongo, wewe ulidhani mzungu amekuja kutoa msaada? walisema wenzetu ukitaka kumficha mtu mweusi mwandikie kwani ni wavivu wa kusoma, hupenda kuambiwa na kusikia watu wanasema, duuu kumbe maelezoyote yapo kwenye booking procedure, karibuni wawekezaji hapa bongo yote weka kwenye maandishi uatawini sooooooooooooooooooooooooon
 
kaka yagu pole sana kwa yaliyokukuta, mimi naomba niulize je ulifika ofisini fastjet saa ngapi kulipia hiyo tiketi yako? maana kama ulifika muda ambao tiketi yako isha expire utakuwa unalaumu fastjet bure, kwenye story yako hujaandika ulifika ofisini saa ngapi? na ulipata a cheap price maana uliwahi kufanya booking muda wa saa mbili asubuhi mpaka nane mchana wanafanya booking wengi na siti zinajaa ndo maana walikupa hiyo bei ambayo pia ni reasonable and fair, japo aloongea na wewe hakuwa na lugha nzuri, fastjet kwa maoni yangu haina tatizo ni watanzania tu kupata elimu juu ya low cost carrier airline na huduma zake, tutaizoea tu. taratibu ndo mwendo
 
Lakini kwa kawaida unapofanya booking online means u have to pay online too kwa kuwa hukulipia online changes zozote zaweza kutoka kutokana na demand yao je kama umebook na hukutokea itakuwaje ? Nadhani wangeanzisha na utaratibu wa kulipia online pia
 
nilijirudia mie na basi la elfu 38,000 /mie natafuta hela kwa tabu then niwape tu alafu huko ndani wanakutembezea vibiscuti ununue tena ,na juice kabox kadigooo 8000/=hahahah nikawaambia mark my face sintapanda hii fast jet tena mimi.bora ndege nyingine ni ghali ila tamu tamu unapewa .jamani kama kuna mtu aliyewahi kupanda hiyo ndege kwa 32+vat isizidi 50,000/= aje atuambie hapa maana nimkwenda mwanza 190,000/=

Kama nina flight ya JRO - JNIA, sina haja ya kutafuna chochote, nitaspend kutafuna kama niko on the road with Dar Express, etc. Kama naweza kulipoa let say 75,000 na nikatumia 50 minutes kufika Dar from Kilimanjaro, kwanini nihangaike na vyakula humo angani, na kama ndo inakufanya uboard precision kisa misosi, pole.

Ni jana tyu nimemfanyia jamaa yangu booking mbili from Mwanza, kuna ya next week bei ni 43,040
ni nyingine ni ya kesho, 75,040. Kazi ni kwako, the earlier the better mzee.

Binafsi sijawahi kukutana na kero kutoka kwa FastJet zaidi ya huduma zao Bora na za gharama nafuu.
Mtoa mada huenda ulikwenda kulipia wakati muda uliopangiwa ukiwa ume-expire,
Juzi tu nimetoka kumnunulia mtu Tiketi kwa Tsh 43,000 JRO-DAR... Fare 32,000 Taxes 11,040
Pia Bei ya Tiketi y ndege siyo Fixed, inabadilika muda wowote, unaweza kuulizia bei sasa hivi na ukitoka kidogo ukarudi ukakuta imeshabadilika.
Hivyo malalamiko yako haya kuna mahali ulishiriki kujikosesha flight (kwa uzembe) au una lengo la kuwaharibia biashara yao.
Pia kuhusu Reporting time, wameonesha kabisa kuwa unatakiwa uripoti 40 minutes before departure. Na kwa msisitizo ukienda kukata tiketi huwa wanakushauri uripoti hata saa moja kabla ya kuondoka, ukizingatia haya, kamwe hutaachwa na Ndege na hutakumbana na unachoita Uhuni wa FastJet...

FastJet - Safiri kwa uhakika na kwa bei nafuu.....

I am glad that you have said it pretty well.

Hapo mtawalaumu fastjet bure,wabongo washaingia kati hapo wanachakachua tkt.ninaamini kabisa kuna staff wakisaidiana na wenzao wanabook tkt zote kisha wanaziuza kwa watu wao wanaowajua huku wakipewa cha juu

Tanzania itajengwa na Watanzania, lakini pia inabomolewa na Watanzania.

...Msiwalaumu sana i love them na ndo wanaleta changamoto kwenye usafiri wa anga maana precision walikua wanajiona babkubwa sana

Na delays zao zilikuwa so noma mpaka zikawa normal. At least upinzni upo, na utazidi kukua, naombea hawa jamaa waanza na hizo route za Entebbe, naskia skia inaweza kuwa kama laki unusu. Ndo upepo wa usafiri utabadilika sasa. Kukaa siku mbili njiani hakuna tena.


Wakuu labda mimi nina bahati au pengine mleta hoja hawakuelewana na muhudumu wa Fastjet.

Binafsi safari zote za kikazi (zinazohusisha Arusha na Dar) nasafiri na fastjet kwa sasa, Precision nimewakimbia kabisa.

Nimeshasafiri na fastjet zaidi ya mara 8 (return tickets) na mara 6 nimelipa nauli ya chini kabisa ya Tsh. 32,000 na mara 2 nimelipa around Tsh. 55,000 hivi.

Nafikiri pengine watu hawazingatii muda wa kwenda kulipia booking zao, binafsi huwa na book safari zangu at least two weeks before na nikiisha book siku hiyo hiyo naenda kulipa pesa yao. Hii inaepusha usumbufu unaoweza kutokea wa bei kubadilika kadiri muda unavyosogea kuelekea siku ya safari.

Nimesikia matangazo yao kuwa unaweza sasa kulipia kwa MPESA, nafikiri hii ndo itaondoa usumbufu wa kubadilishiwa nauli siku ukienda kulipia.

Huo ndo uziefu wangu na Fastjet kwa safari nilizofanya nao.

Ooh nimesahau, faida yao nyingine ni kuwa wanajali sana muda.....on-time departures 100% mpaka raha!!

Mkuu, umenena vyema, I fail to understand shida ambazo baadhi ya watu wanaclaim wame-experience. kwa upoande wangu, kila booking ninafanya na malipo within the specified time, hapo hakuna mhudumu yeyote anayeweza kunibabaisha. Just give then the name na booking reference, off you board.

Na kwenye muda nimewakubali sana, there's no objection kwenye hilo. Naiombea isife tuendelee kunufaika na usafiri huu, time saver.

kaka yagu pole sana kwa yaliyokukuta, mimi naomba niulize je ulifika ofisini fastjet saa ngapi kulipia hiyo tiketi yako? maana kama ulifika muda ambao tiketi yako isha expire utakuwa unalaumu fastjet bure, kwenye story yako hujaandika ulifika ofisini saa ngapi? na ulipata a cheap price maana uliwahi kufanya booking muda wa saa mbili asubuhi mpaka nane mchana wanafanya booking wengi na siti zinajaa ndo maana walikupa hiyo bei ambayo pia ni reasonable and fair, japo aloongea na wewe hakuwa na lugha nzuri, fastjet kwa maoni yangu haina tatizo ni watanzania tu kupata elimu juu ya low cost carrier airline na huduma zake, tutaizoea tu. taratibu ndo mwendo

For sure there is wisdom in your paragraph. Ahsante wa ufafanuzi mzuri sana. i hope mtoa mada atarejea kutueleza alikwenda kulipia booking ndani ya muda gani, vinginevyo this might turn to defamation.
 
tatizo mimi ndege nlizowahi kupanda unakuta bei juu ssababu kuna hizo sweets wanakupa huko angani sasa hawa kila kitu unanunua alafu bei juu.hata mahali pa kwenda na ndege 2-3hrs sili chochote angani hata kama nimelipia hivo
@Endangered
 
mheshimiwa waziri Makyembe anataarifa hizikweli,kama hana hizi taarifa anatakiwa apewe,hatuwezi vumilia
 
Back
Top Bottom