Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Hahaaa. Ila we jamaa!!
 
Unampa pole kumbe naye ni walewale, kama kweli kaibiwa atuwekee picha ya mtuhumiwa hapa na ID anayoitumia.
 
Mbna km anapaka mkorogo? LOL
 
Kazi kama hizo mpe mtu unayemjua au awe na wazamini na awe na barua ya kutoka serikali ya mtaa.

Vijana usiowajua backaground yao wape kazi za SHAMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…