Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Alarm ya kwanza ilikuwa ni pale alipokuambia alivamiwa na vibaka akaibiwa nauli. Humu kumejaa majambazi tu, hangaikeni kuwasaidia wahitaji mnaowaona huko mitaani kwenu. Achaneni na hizi roborts. Kila siku mnalizwa humu ila hamjifunzi tu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Hahaaa. Ila we jamaa!!
 

Attachments

  • Screenshot_20250125_143502.jpg
    Screenshot_20250125_143502.jpg
    111.7 KB · Views: 2
Unampa pole kumbe naye ni walewale, kama kweli kaibiwa atuwekee picha ya mtuhumiwa hapa na ID anayoitumia.
 
Huyu kijana ni tapeli kweli, nilimpigia simu akaja nikamwona tukapanga nimpe kazi , baada nilipotaka kuongea na wazazi na kuonana anayeishi nae akaingia mitini.

nipigie tuongee , nikueleze zaidi yaliyonitokea na mimi kwa huyu kijana cause twaweza kumkamata tukishirikiana.
Mbna km anapaka mkorogo? LOL
 
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.

Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.

Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.

Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.

Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Kazi kama hizo mpe mtu unayemjua au awe na wazamini na awe na barua ya kutoka serikali ya mtaa.

Vijana usiowajua backaground yao wape kazi za SHAMBA.
 
Back
Top Bottom