Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Ebu
Mkuu soma ule uzi unaitwa
"NATAFUTA MGANGA KONKI "
ILi iwe fundisho kwa uyo kijana na ajue dunia sio ya kuchezea kirahisi ivyo
Ni tag kwenye huo uzi mzee😜kuna kakitu nataka kufanya "imeibiwa mauzo ya wiki nzima" sahivi nafyeka nyasi tu
 
Mkuu mjini umeingia lini? Unaleta ''remba-remba'' dunia ya leo? Huijui dunia wewe!
 
Alivyokwambia kavamiwa na vibaka tu, hiyo ilitakiwa kuwa red flag namba uno.
Halfu kuna member mwingine amemwambie asome uzi wenye kichwa ''natafuta mganga konki'' ili arekebishe makosa aliyofanya. Asipokaa vizuri anapigwa tena.
 
Vijana wwnzetu wengi niwa hovyo sana tena sana na ndo wanaongoza kwa kurudisha nyuma vijana wenzao

Mwaka namaliza chuo nikaja kitaa na mzuka wa kutafta pesa bas bana mzee akanikabidhi duka la hardware bas mm kama kijana nkatafta wale wanafunzi wenzangu niliosoma nao sec na primary wengne ni mainjinia na wengne ni wasimamizi wa miradi.

Bas bana nkawapata km 3 iv wakaja tufanye biashara huwezi amino wote nliwakopesha vifaa wakiniaminisha kwamba wakiripwa watanilipa na mm kwakua ni vijana wenzangu na nimesoma nao na najua bas nkawahamini.

Leo ni mwaka wa 5 sinalipwa zaidi ya million20 na kibaya zaidi tumekua maadui

Tangu apo sitak tena kusikia habar za kufanya kaz na vijana
 
Inaonekana wewe una akili sana na hujawahi kukosea maishani 🥶

Hivi Kwani embe unalikuta linafunza ndani ya konkwa na halina tobo? A
 
Vijana wengi siku hizi hawataki kazi zilizonyooka.wanataka waishi Kwa janjajanja.hasa wa mikoani na vijijini.
Akikutapeli elfu 20 ye anaona kapata.wakati Ukute angepewa kazi ya malipo hata ya laki 2 Kwa mwezi akabadili Maisha.

Wanasababisha watu waaminifu wapate tabu maana nao hawataaminika.
 
Mkuu wewe ni kama mchangiaji mada wa sita unasema kuajiri Ndugu?
👉hivi Unazijua complications za kuajiri ndugu?
👉Hao ndugu wana qualifications ya kile unachotaka kuwapa kazi au kwenye biashara au kisa tu unataka uweke mtu wa karibu uweze kumpata
.. Huna Ndugu, Mpaka unatafuta Mtu Baki wa Kuajiri ??...
 
Inaonekana wewe una akili sana na hujawahi kukosea maishani 🥶

Hivi Kwani embe unalikuta linafunza ndani ya konkwa na halina tobo?
A
Wewe jamaa unaakili za HOMO HABILIS YAANI unaufahamu mdogo sana,sijajua level yako ya ELIMU ila ni huzuni nikikwambia kuwa wewe ni mzito sana kuelewa,kufanya maamuzi na mzito katika kufikiria sawasawa.
 
Wewe jamaa unaakili za HOMO HABILIS YAANI unaufahamu mdogo sana,sijajua level yako ya ELIMU ila ni huzuni nikikwambia kuwa wewe ni mzito sana kuelewa,kufanya maamuzi na mzito katika kufikiria sawasawa.
Mimi nimeishia la pili pia hata sio homo habilisi mimi, ni zinja kabisa Raisi tu, unataka kusemaje?
 
Utajifunza kupitia upumbavu wako. Mtu anayetaka kazi hawezi kuleta visingizio vya kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…