Ebu
Ni tag kwenye huo uzi mzee😜kuna kakitu nataka kufanya "imeibiwa mauzo ya wiki nzima" sahivi nafyeka nyasi tuMkuu soma ule uzi unaitwa
"NATAFUTA MGANGA KONKI "
ILi iwe fundisho kwa uyo kijana na ajue dunia sio ya kuchezea kirahisi ivyo