Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Mtoa mada katupea tu attention nasio katapeliwa. Uwongo uwongo uwongo.
Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.
Yaani mtu azime simu alafu umwamini
 
Unawezaje mpa mtu kazi tena ya uwakala ilihali humjui
 
Duh, pole Kwa kupigwa. Siku hizi ni ngumu kusaidiana humu, Bora umpatie pesa akajifie mwenyewe kuliko kumkabidhi biashara.
Sasa ukiwa na biashara mbili au zaidi unazifanyia zote, si lazima uajiri msaidizi.
Kijana mwizi mpuuzi tu huyo lakini haimaanishi kuwa watu wote ni wezi.
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
Asipokusikiliza hapa basi..!! 😹
 
Hivi kweli kabisa unamuokota mtu humu unaenda kumuamini na kumkabidhi kitengo cha pesa?? 😹😹😹

Huko piem wanakula afu tatu hawaogopi itakuwa huko uraiani awwweehh pole sana 🤣
 

hii so chai ndugu,ymenikuta
 

Attachments

  • IMG-20240620-WA0000.jpg
    12 KB · Views: 2
Alisha ku alert lakini hukutaka kuamini kuwa huyo jamaa sio muaminifu pole sana ni mwenyeji wa wapi mkuu huyo kijana.
 
Mkuu huyo kijana kama alitokea humu JF weka ID yake tumjue ni hatua moja mbele ya kupatikana kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…