Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Hakikisha unadili nae ulalo ulalo

vijana wamekuwa matapeli sana siku hizi

usimwachie aisee hakikisha anaenda segedance
Kudeal naye ni jambo jingine na kumtia nguvuni ni jambo jingine pia.

Mleta mada hajaainisha kama alikuwa na particulars sahihi za mhusika.
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
Tena anaenda kumpa kitengo cha pesa! hiyo ya kumtumia hela akazima simu ilikua ni Red Alarm!
 
S
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.

Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.

Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.

Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.

Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Siku nyingine ukitaka kumsaidia mtu au kumuajiri mtu hakikisha unapajua mahali alikotoka yaani namaanisha aje na barua ya mwenyekiti wa mtaa wake kisha chukua na copy ya Kitambulisho chake cha Nida ili akikimbia unajua ukaanzie wapi kumtafuta.
 
Hongera sana mkuu!

Wewe ni mzalendo wa kweli,na kama taifs tunajivunia wewe!

Hope Mungu atakusaidia kupata haki zako kwenye hilo lililotokea!

Sisi wapambanaji mara nyingi tunapitia magumu kama haya wengine tulijitahidi kutaka kusaidia Hadi ndugu tukapigwa matukio ya hovyo!!!!

Usikate tamaa!!
 
Kuna mwaka mtu alijisinguzia mtoto wake kaungua moto ili apate michango na ID nyingine. Mod aliunganisha zile ID ikagundulika muongo habari katoa huko FB kajifanya yeye humu ni hatari.
Wale wa PM naomba assist usiwaamini.
 
Siku hizi naendelea kujifunza roho mbaya na yakutomsaidia yoyote kutokana na watu wanavyokulipa .
 
Baada ya kuiba alirudi kuedit uzi wake na kufuta post na picha ila wadau walishamquote
Mkuu hauna kumbu kumbu na uzi huo uattach ili tuwajue hawa vibaka?
 
Hiyo picha ni yake kweli? I mean ulipomuona ndie huyo huyo wa kwenye picha? kama ndiye basi Sambaza picha yake ukiambatanisha na RB kwenye mitandao yote kuanzia JF, FB, IG, X, Tiktok ndani ya masaa mawili tu ushapata full details, watafute wale watu wenye followers wengi wape kitu kidogo wampost, MUHIMU ambatanisha na RB yake.
Ni yeye nimekaa naye karibia wiki
 
Sasa ukiwa na biashara mbili au zaidi unazifanyia zote, si lazima uajiri msaidizi.
Kijana mwizi mpuuzi tu huyo lakini haimaanishi kuwa watu wote ni wezi.
Tafuta watu unaowajua au watu unaowaamini wakutafutie na sio kuokota mitandaoni Kwa haraka kiasi hicho, huyu kamuamini kijana mtandaoni Kwa haraka haraka.
 
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.

Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.

Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.

Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.

Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Mkuu anatokea mkoa gani
 
Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa

Hakika nakuambia ndugu,

Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,

HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
Kwakifupi humu cheza nao kwa akili sana sana sana .
Halaf kosa ni la kwake kwel kwasababu alishaona dalili za kutapeliwa toka mwanzo alipotuma nauli, ila akazid kukomaa tu kutaka kufa ya kazi na mtu hiyo tena kazi inayo involve cash money, nooooo, ndugu yetu kayataka mwenyewe.
Kazi za pesa tunachukuaga watu tunaowajua mpaka kwao na wazaz wao na rufaa ya serikali ya mtaa kama pamoja na wadhamini.
Wewe unaokota tu mtu toka mtandaoni!.

Ila pole sana kaka
 
Back
Top Bottom