Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kudeal naye ni jambo jingine na kumtia nguvuni ni jambo jingine pia.Hakikisha unadili nae ulalo ulalo
vijana wamekuwa matapeli sana siku hizi
usimwachie aisee hakikisha anaenda segedance
Mkuu hauna kumbu kumbu na uzi huo uattach ili tuwajue hawa vibaka?Huyu jamaa niliona tangazo lake humu aliandika gazeti refu la kutafuta ajira. Duh pole mkuu kwa kuibiwa,watu sio waaminifu kabisa
Tena anaenda kumpa kitengo cha pesa! hiyo ya kumtumia hela akazima simu ilikua ni Red Alarm!Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa
Hakika nakuambia ndugu,
Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,
HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??
Siku nyingine ukitaka kumsaidia mtu au kumuajiri mtu hakikisha unapajua mahali alikotoka yaani namaanisha aje na barua ya mwenyekiti wa mtaa wake kisha chukua na copy ya Kitambulisho chake cha Nida ili akikimbia unajua ukaanzie wapi kumtafuta.Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.
Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.
Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.
Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.
Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Mkuu hauna kumbu kumbu na uzi huo uattach ili tuwajue hawa vibaka?
Hata unayemjua tu usimuamini. Pia ni kuomba ulinzi na msaada wa Mungu.
ArushaAlisha ku alert lakini hukutaka Arkuamini kuwa huyo jamaa sio muaminifu pole sana ni mwenyeji wa wapi mkuu huyo kijana.
Ni yeye nimekaa naye karibia wikiHiyo picha ni yake kweli? I mean ulipomuona ndie huyo huyo wa kwenye picha? kama ndiye basi Sambaza picha yake ukiambatanisha na RB kwenye mitandao yote kuanzia JF, FB, IG, X, Tiktok ndani ya masaa mawili tu ushapata full details, watafute wale watu wenye followers wengi wape kitu kidogo wampost, MUHIMU ambatanisha na RB yake.
Mkuu huyo kijana kama alitokea humu JF weka ID yake tumjue ni hatua moja mbele ya kupatikana kwake
Tafuta watu unaowajua au watu unaowaamini wakutafutie na sio kuokota mitandaoni Kwa haraka kiasi hicho, huyu kamuamini kijana mtandaoni Kwa haraka haraka.Sasa ukiwa na biashara mbili au zaidi unazifanyia zote, si lazima uajiri msaidizi.
Kijana mwizi mpuuzi tu huyo lakini haimaanishi kuwa watu wote ni wezi.
Mkuu anatokea mkoa ganiKuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.
Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.
Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.
Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.
Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Kwakifupi humu cheza nao kwa akili sana sana sana .Hakika kaka wewe ndio mwenye kosa
Hakika nakuambia ndugu,
Kuna matapeli humu, kuna makahaba humu, kuna vibaka humu,
HOW COULD YOU JUST TRUST SOMEONE SO EASILY??