Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

.. Huna Ndugu, Mpaka unatafuta Mtu Baki wa Kuajiri ??...
 
Watu wa namna hii hukatisha tamaa hata jitiahada za watu binafsi kusaidia wengine
 
Pole sana mkuu
 
Cha ajabu

Kazi inafanyika na kiserikali au vinginevyo atapatikana.Ni MTU was Tanga
Sisi watu wa Tanga tupo, na majority hawajalelewa na tabia hiyo. Amesema anatokea Tanga wapi? Pm please nikusaidie kumtafuta coz nina inzi karibia kila Wilaya Tanga, na nina inzi kila kata Lushoto
 
Maisha yalivyo magumu hivi bado unapata ujasiri wa kumuonea mtu huruma😁😁😁 mpigwe tu hakuna namna.NASEMA MPIGWEEEE!!!!

SERIKALI YENYEWE HAINA HURUMA NA MTU WEWE UNAANZIA WAPI.HIVI MNAHELA ZA KUCHEZEA SANA.
😁 sio hivyo ufikiriavyo kwamba mtu unatoa tu pesa haina kazi, mzee life ni gumu ila sasa sisi ni binadamu unaweza kukutana na jambo la mtu likakugusa ukaona kabisa una nafasi ya kuwa daraja kwake ukaamua tu kumsaidia, ukiamini kwamba watoto wake wakipata chakula nawe utapata baraka sema ndo vile sasa mtu anakuwa mjinga, hivyo mimi nilchopoteza ni imani tu ila sio pesa mkuu.
 
Ulishafanya kosa awali,unaoneshwa na muumba uhuni wa muhuni mapema halafu wewe unasema si muhuni?
 
Kwanini hujaweka details zake hapa?
 
Kwa akili hizi wewe hata ukiombwa donati utakuja JF kuuliza umpe au usimpe mwamba aisasambue donati
 
kwa biashara ndogo ni vibaya ku-recuit mtumishi kupitia mitandao ya kijamii.
 
Hawa ndio madogo washenzi sana wanaowaharibia hadi wenzao wenye shida ya kazi kweli kweli na wana moyo wa kujitoa na ajira.

Maisha yenyewe haya ni magumu sana plus kipato ni cha wasi wasi sana. Mtu unapata mtu ana huruma anakusaidia unaleta ufala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…