Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂

Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Ukute naye alikuwa ana commenye kwenye uzi kwa ID nyingine
 
Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂

Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Sijaona alipokosea huyu mdau sababu hajafanya naye biashara au kazi humu mtandaoni bali kwenye mazingira.yakuonana na tayari ana taarifa zake kama majina na picha halisi.

Unafikiri huyu kijana hatopatikana au hafahamiki kwa mleta uzi?, huyu kijana ni rahisi sana kukamatwa ikizingatiwa JF kuna member karibu kila sehwmu ya hii nchi.

Biashara za mtandaoni ndio zakufanya na member walio verified, hili mimi ni shahidi maana nafanya kazi nyingi na member wa huku huku JF.
 
𝙰𝚜𝚎𝚎 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚘𝚗𝚊 𝚑𝚞𝚢𝚞 𝚔𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚙𝚘𝚜𝚝 𝚗𝚒 𝚓𝚞𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚒𝚟𝚒,
𝚅𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚝𝚊𝚖𝚊𝚊 𝚣𝚒𝚖𝚎𝚣𝚒𝚍𝚒 ,𝚑𝚒𝚟𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚒𝚋𝚊𝚓𝚎 𝚎𝚕𝚊 𝚢𝚊 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚞𝚖𝚎 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚣𝚒𝚘 𝚔𝚒𝚛𝚊𝚑𝚒𝚜𝚒 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚑𝚊𝚞𝚠𝚊𝚣𝚒,𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚎𝚓𝚒𝚝𝚘𝚕𝚎𝚊 𝚔𝚞𝚔𝚞𝚜𝚊𝚒𝚍𝚒𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚑𝚒𝚝𝚊𝚓𝚒 𝚖𝚜𝚊𝚊𝚍𝚊 𝚠𝚊𝚜𝚒𝚜𝚊𝚒𝚍𝚒𝚠𝚎.
𝚂𝚒𝚔𝚞 𝚒𝚣𝚒 𝚞𝚔𝚒𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚄𝙽𝙰𝚄𝙿𝙾𝙽𝚉𝙰 ,𝚍𝚞𝚗𝚒𝚊 𝚒𝚖𝚎𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚊𝚑𝚊𝚕𝚊 𝚗𝚒 𝚝𝚊𝚏𝚛𝚊𝚗𝚒 ,𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚝𝚞 𝚊𝚗𝚊𝚝𝚊𝚣𝚊𝚖𝚊 𝚞𝚙𝚊𝚗𝚍𝚎 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚝𝚞 𝚠𝚊𝚕𝚊 𝚑𝚊𝚓𝚊𝚕𝚒 𝚢𝚊 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚣𝚒𝚎, 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚝𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚔𝚞𝚔𝚞𝚞𝚖𝚒𝚣𝚊.
𝙽𝚊𝚔𝚞𝚖𝚋𝚞𝚔𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚖𝚣𝚎𝚎 𝚊𝚛𝚞𝚜𝚑𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚏𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚔𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚞 𝚢𝚊 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚎 (𝚊𝚕𝚒𝚙𝚒𝚐𝚒𝚠𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚞 𝚗𝚊 𝚔𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚓𝚒𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚔𝚊𝚔𝚘𝚜𝚎𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚞𝚖𝚊 𝚎𝚕𝚊 ,𝚋𝚊𝚜 𝚖𝚣𝚎𝚎 𝚑𝚊𝚔𝚞𝚝𝚊𝚣𝚊𝚖𝚊 𝚜𝚊𝚕𝚒𝚘 𝚕𝚊𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚝𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚖𝚝𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚙𝚎𝚜𝚊, 𝚖𝚊𝚜𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚊𝚍𝚊 𝚢𝚊 𝚖𝚞𝚍𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚙𝚘 𝚊𝚕𝚒𝚐𝚞𝚗𝚍𝚞𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚊𝚙𝚎𝚕𝚒𝚠𝚊 𝚍𝚊𝚑 𝚊𝚕𝚒𝚙𝚊𝚝𝚊 𝚖𝚜𝚝𝚞𝚔𝚘 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒).
𝙴𝙷 𝙼𝙾𝙻𝙰 𝚆𝙴𝚃𝚄 𝚃𝚄𝚂𝙰𝙼𝙴𝙷𝙴 𝚆𝙰𝙹𝙰 𝚆𝙰𝙺𝙾
 
Sijaona alipokosea huyu mdau sababu hajafanya naye biashara au kazi humu mtandaoni bali kwenye mazingira.yakuonana na tayari ana taarifa zake kama majina na picha halisi.

Unafikiri huyu kijana hatopatikana au hafahamiki kwa mleta uzi?, huyu kijana ni rahisi sana kukamatwa ikizingatiwa JF kuna member karibu kila sehwmu ya hii nchi.

Biashara za mtandaoni ndio zakufanya na member walio verified, hili mimi ni shahidi maana nafanya kazi nyingi na member wa huku huku JF.
Tatizo atakamatwa akiwa hana kitu au kama ni mwerevu huwezi kumpata
 
Hapa tulipo Sasa vijana 18-45yrs hawataki na hawapendi kufanya kazi ikitokea inamlazimu afanye kaz ataifanya sio kama inavyotakiwa yaan akipata sababu tuu mwenyekazi umeisha kwenye malipo Sasa hapo atakuua anataka umlipe zaidi ya hata mlivyokubaliana au alivyofanya kaz.

Huyu kijana Sasa akishapata pesa utamkuta kwenye pombe, uzinzi, mirungi na shisha.

Kijana wa kitanzania mpumbavu sana naomba sayansi ifanye yake tununue mashine tuachane na huu ujinga wa vijana wa kitanzania
 
Back
Top Bottom