Kwa ujinga huu wa CRDB kutoa taarifa za wateja bila idhini halali ya Mahakama, naiona bank ikikosa trust na kuporomoka kimapato soon!

Kwa ujinga huu wa CRDB kutoa taarifa za wateja bila idhini halali ya Mahakama, naiona bank ikikosa trust na kuporomoka kimapato soon!

Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.

Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili. Soon Majibu mtayapata………so shame CRDB!
Wapuuzi sana
 
Yaani Heche ndo asababishe wateja tuhame crdb Hadi ifirisike?
Hakuna chama hapo kama akili zenu ziko hivi.
 
Tumepata sababu nyingi sana za kugomea lakini tumekosa ujasiri na mwamko wa kuliamsha
MKuuu sio mpka tuwe na mud ya kuamsha juna member humu wananguvu tuanzishe huku linapotoka huku liende na nguvu
 
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.

Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili. Soon Majibu mtayapata………so shame CRDB!
si ajabu una laki bank tu

falaa

a
 
Yaani Heche ndo asababishe wateja tuhame crdb Hadi ifirisike?
Hakuna chama hapo kama akili zenu ziko hivi.
Wewe mbona huna Akili unawezaje kuwa kipimo cha kupima Akili za wengine? Anza kuwa na Akili kwanza ndipo ujitoe fahamu wambie watoe taarifa za miamala ya Katuga kwanza
 
Miaka flani hapo nyuma ulitoka "mkeka" wa watu walioramba Pesa ya Tegeta Escrow Account ambayo walipewa na Mzee wangu Mzee Rugemalila. Pesa hizo zilipitia Mkombozi Bank na majina kama Prof. Anna Tibaijuka, Wakili William Ngereja na Askofu Methodius Kilaini kutaja wachache yalionekana pamoja na akaunti namba zao na kiasi cha pesa kila mtu alichoingiziwa. Sikusikia kelele zozote za wanaharakati uchwara wa JF wakilalamika kwanini Mkombozi Bank ( Benki ya Kanisa Katoliki Tanzania) ilitoa taarifa za wateja wake! Ahahahahaha!!

Cha kuchekesha, wanaharakati uchwara wa JF hawa hawa wakawa wanailazimisha Stanbic Bank itoe taarifa za wateja waliochukua fedha kwenye "viroba" kutoka kwenye akaunti namba zao! Ahahahahaha!!

Cha kutia wazimu kabisa, wanaharakati uchwara hao hao leo eti wanataka kwenda mahakamani eti kwanini Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga kaonesha mahakamani John Wegesa Heche (mwenzao) kaingiziwa hela milioni 20 na baadae milioni 10 na mtu aitwaye Salman Nilesh ambaye John Wegesa Heche anamkana kuwa hamjui ingawa kamwekea hela na hela anazitambua!

Ahahahahaha! Ngoja nione nyumbu wanavyoruka na kukanyagana!!
The Bank that Listenns!
 
Kwani katuga si ana Account Bank, iweje yeye hawajatoa taarifa zake juu ya miamala yake ?
 
Mahakama au polisi wakiitaji docs yoyote kwa sababu za kiuchunguzi au uthibitisho fulani bank huwa hazina ubavu wa kuzuia hilo!
Ufisadi wa billion 2 za vifaa vya ujenzi mbona haukufanyika? Au hizo bank taarifa zinatolewa kwa wasio na mamlaka na polisi?
 
Tumepata sababu nyingi sana za kugomea lakini tumekosa ujasiri na mwamko wa kuliamsha
Kifupi nimegundua CRDB ni bank ya kijinga sana. Wamezidiwa hadi na Madam Zaipuna
CRDB nayo bank? Si ndio hii mwaka jana ikawa anaiba pesa za watu kwenye acc zao na kusingizia mabadiliko ya mfumo. Lol
imekuwa bank ya hovyo kweli
 
Kwani katuga si ana Account Bank, iweje yeye hawajatoa taarifa zake juu ya miamala yake ?
Kwavile mtu anajidai afisa kipenyo bas ikienda bank ni full ku-print taarifa za mtu na kuzisambaza…….Bila sheria na katiba madhubuti, huu ujinga hautakoma!
 
Nadhani pia kuna haja watu kujielimisha kuhusu taratibu za kiuchunguzi, haswa linapokuja suala la miamala ya kifedha. Pia ni vyema kujua kama taarifa iliyowasilishwa ni statement ya miamala au ni nakala za risiti anazopewa mteja pindi anapoweka fedha kwenye akaunti yake au ya mtu mwingine.

Mfano, taasisi kama TAKUKURU, Police, Mahakama etc wanaweza itisha nyaraka za kibenki/kifedha kwa utaratibu maalum endapo kuna kesi au tuhuma za kiuchunguzi. Hizi taasisi kama mabenki huwa zina legal departments ambazo hufanya upembuzi wa maombi ya nyaraka kabla hazijatolewa.

Chukua mfano wa kesi ya utapeli wa kimtandao, unaestablish vipi kesi kama hutakuwa na ushahidi wa miamala?.
Statements unaomba wewe mhusika uliyefanyiwa utapeli na si polisi. Mhusika kuomba siyo shida, shida ni mamlaka zingine zisizokuwa na amri ya kimahakama
 
Back
Top Bottom