Money doesn't necessarily answer all things..Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Huna ujualo mkuu! Nikwambie tu hiyo picha nmeichukua saa 11:30 jioni wakati mkutano ukiendelea na hapo gari ilipita kila kona kutangaza.Kwa hiyo unawahi mahali wakati watu wanafunga vipaza sauti unapiga picha unatuma we fala kweli
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
unajipa moyo.......pole mkuuNiliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Kumbe anapunzika kwa ajili ya kubana matumizi?Ikumbukwe kabla ya kwenda iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lisu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa ccm
Dah unauliza CCM wanapata wapi pesa zote!?.. Mkuu hakuna wakala wa CDM asiyejua chadema walichangisha wabunge kila mwezi zikafika zaidi ya bil.5 na Sasa hivi hazionekani. Utamshawishi nani ajitolee tu kusimamia burebure!??CCM wao wanapata wapi pesa nyingi kiasi hicho? Mimi naamini SIASA ni sawa na IMANI kuna watakaokuwa tayari kufanya hiyo kazi kwa gharama zao
kulikoni sasa anapiga magoti kujitilisha huruma kuomba kura?Mimi sina chama ila nikiangalia CCM inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana.
Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura.
Sawaboya ni sheedah
kulikoni sasa anapiga magoti kujitilisha huruma kuomba kura?
mhhhh Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda round hii sio magoti tu mtatembea hadi na matumbo kama chatu mkiwa mnaomba kura.Huyu Baba ni mnyenyekevu sana, amesaidia Watanzania wengi, kupiga magoti ni unyenyekevu alionao
mhhhh Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda round hii sio magoti tu mtatembea hadi na matumbo kama chatu mkiwa mnaomba kura.
sawa mimi ni Mnaijeria.Ndio tambo za Uchaguzi kaka yangu ila huyu Baba Magufuli atashinda sana Watanzania wanampenda
Kweli Kama haya ndio mazungumzo ya NECCCMNdio tambo za Uchaguzi kaka yangu ila huyu Baba Magufuli atashinda sana Watanzania wanampenda
sawa mimi ni Mnaijeria.
Kweli Kama haya ndio mazungumzo ya NECCCMNdio tambo za Uchaguzi kaka yangu ila huyu Baba Magufuli atashinda sana Watanzania wanampenda
Karibu sana Jamii Forum.Asante kaka Rais Magufuli ameonyesha upendo mkubwa
Kweli Kama haya ndio mazungumzo ya NECCCM