Kwa ukosefu wa Umeme hasa Mkoani Mbeya tunaomba viongozi mjitafakari. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi

Ustaadhi 22

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2021
Posts
996
Reaction score
1,907
Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme.

Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme.

Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa miezi sita?

Tuwe serious tuweke uhalisia kuliko Maneno. Huku mikoani tunatumia saaana umeme haupo Kabisa. Hii ni KERO zaidi ya KERO.
 
Duh inakera kwa kweli shughuli zetu zinasoma kwa sababu hakuna umeme serikali ina maneno mengi kuliko vitendo
 
Naona hata Dar makali ya mgao yanazidi kuongezeka kila siku, kuna jambo haliko sawa namna nchi inavyoongozwa....
 
Halafu kuna mjinga atakwambia Samia anaupiga mwingi sana,2025 hana mpinzani. Mgao wa umeme,gharama za juu za maisha ndiye mpinzani mwenyewe.
 
Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme.

Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme.

Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa miezi sita?

Tuwe serious tuweke uhalisia kuliko Maneno. Huku mikoani tunatumia saaana umeme haupo Kabisa. Hii ni KERO zaidi ya KERO.
mkuu mwenyewe karuhusu tuteseke miezi 6
hii nchi yaani
 
Back
Top Bottom