Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Shughuli zinaongezeka Miundombinu ile ile 😂Naona hata Dar makali ya mgao yanazidi kuongezeka kila siku, kuna jambo hliko sawa namna nchi inavyoongozwa....
Walikuwa wanasubiri nini ku privatize energy sector.Shughuli zinaongezeka Miundombinu ile ile 😂
Dowans mlimkataaWalikuwa wanasubiri nini ku privatize energy sector.
mkuu mwenyewe karuhusu tuteseke miezi 6Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme.
Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme.
Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa miezi sita?
Tuwe serious tuweke uhalisia kuliko Maneno. Huku mikoani tunatumia saaana umeme haupo Kabisa. Hii ni KERO zaidi ya KERO.