Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Shalom shalom
Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc.
Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa simba Sc msimu huu ni tishio na inaonesha rasmi kuwa Simba sc imeamua kurudisha ufalme wake.
Makapi yanayoendelea kuondolewa Simba ni wazi kuwa Simba ijayo si kama ile ya miaka 3 iliyopita ambayo sisi kama Yanga tulikuwa tukinunua baadhi ya wachezaji wasaliti ambao wengine tumeshawasajili kutoka Simba msimu wa mwaka jana na mwaka huu ili waihujumu Simba.
Wanasimba naomba mnipokee mimi mwanachama mpya . Bora ya aibu kuliko fedheha ambayo ingenikuta mwakani endapo ningeendelea kuishabikia Yanga.
Karibu Fei Toto.