Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

Unajipa wepesi WA kupata PRESSURE dogo!
 
Tuna ihifadhi hii
 
Ni vizuri umetaja wanaofanya usajili, baadae hatutaki kusikia Mangungu ajiuzulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…