Polisi wa cheo kipi mkuu, Saidi Mwema ana mabasi ndio ashindwe kujenga nyumba hiyo kweli?Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma.