Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma.
Wao wenyewe walifika pale lakini kimoyomoyo wanasema dah,huyu msenge kajenga..kwani hujawahi kuona unaendabmsibani halafu watu wanashangaa mjengo..? Tutafuteni hela.