Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!

Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa, wameona Nini juu yake.

Muda ni mwalimu!

Mungu Mbariki Nabii wetu Tundu Antipas Lissu.
 
Ni hamsini kwa hamsini, anaweza kua ajaye, ama wabaya wanaweza kutumia fursa kurusha kitu chenye ncha kali kwa faida yao ama kuchafua tu taswira ya bara, huyo ni icon muhimu sana kwa sasa kimataifa.. Mistake yeyote haitakiwi.
 
Sasa ulinzi Hadi ndani ya court?

Rais mstaafu Ben Mkapa aliwahi kwenda court kutoa ushahidi, hatukuona ulinzi wa hivi ndani ya court.
 
Salaam!

Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!

Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa, wameona Nini juu yake.

Muda ni mwalimu!

Mungu Mbariki Nabii wetu Tundu Antipas Lissu.
Lissu kama Nabii
 
Ukiangalia yanayompata Besigye wa Uganda, na Lisu, yote yanakupa picha akili ndogo walizonazo madikteta uchwara kama samia, na mseveni,
Ukiwaona polisi jinsi wanavyoruka ruka kuonyesha kama vile wanafanya jambo la maana, kumbe hakuna kitu, polisi wa ukweli wapo wanapambana na gangs kule Haiti, gangs zenye siraha za moto! Hawa kenge wao wanakimbizana na wadada wa chadema, walioshika smart phones,!!!
 
Back
Top Bottom