Sasa ulinzi Hadi ndani ya court?Ni hamsini kwa hamsini, anaweza kua ajaye, ama wabaya wanaweza kutumia fursa kurusha kitu chenye ncha kali kwa faida yao ama kuchafua tu taswira ya bara, huyo ni icon muhimu sana kwa sasa kimataifa.. Mistake yeyote haitakiwi.
Yaani Hadi wafungwa nao wanapata coverage kubwa kuliko walio mtaani!Ana upako Sana Jamaa
Utaambiwa wamepata habari za kiintelijensia...Tungelinda viwanda alivyoanzisha Mwalimu kama tunavyolinda uongozi leo hii tungekuwa tunaikopesha China
Lissu kama NabiiSalaam!
Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!
Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa, wameona Nini juu yake.
Muda ni mwalimu!
Mungu Mbariki Nabii wetu Tundu Antipas Lissu.
Yaani Yuko gerezani lakini ana Nuru na furaha kuliko waliokalia viti majumba makubwa!Lissu kama Nabii
viwanda na nyumba na sehemu ya kupaki meli za babu ziliuzwa na kuibwa hakukuwa na intelejensia yeyote.Ila ukigusa uongozi ni balaaUtaambiwa wamepata habari za kiintelijensia...
Unakumbuka Kisa cha Arioko?Yaani Yuko gerezani lakini ana Nuru na furaha kuliko waliokalia viti majumba makubwa!
Naam!Unakumbuka Kisa cha Arioko?
Basi subiri kitu kizuri kinaenda kutimiaNaam!
Ukiangalia yanayompata Besigye wa Uganda, na Lisu, yote yanakupa picha akili ndogo walizonazo madikteta uchwara kama samia, na mseveni,Salaam!
Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!
Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa, wameona Nini juu yake.
Muda ni mwalimu!
Mungu Mbariki Nabii wetu Tundu Antipas Lissu.
Habari zenyewe hutakaa uzione impacts yake.Utaambiwa wamepata habari za kiintelijensia...
Makachero wa kufa mtuHao ni walinzi wake acha wamlinde ili awe salama