Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

Ni kuhangaiaha tu makomandii wetu Katika mambo ya kijinga,

Ndio maana Mimi naona kama wanamtabiria mamlaka makubwa huko mbeleni.
 
Kuna amani ya akili na amani ya Mungu,unaweza ukawa unalindwa na kulala nyumba zenye AC ila huna amani ya Mungu lazima uchakae na kuzeeka ovyo.Ila amani ya Mungu hata ukilala vichakani ni bora na uso utaonyesha furaha na ushindi.Huoni hao wengine hata wapake mafuta wanapauka yote ni hasira ya Mungu pia.
 
Hakika
 
Unaota ndoto za mchana,Muhaini lazima alindwe sababu ni mtu ambaye ni hatari kwa usalama wa Taifa letu.
 
Unaota ndoto za mchana,Muhaini lazima alindwe sababu ni mtu ambaye ni hatari kwa usalama wa Taifa letu.
Uhaini ni vitendo SI maneno,

Ni kama tu WEWE Mzazi mlevi umwambie mwanao ujinga ukiwa umelewa,

Akikataa kutii Amri zako za kijinga, huo ni uasi mzuri.
 
Uhaini ni vitendo SI maneno,

Ni kama tu WEWE Mzazi mlevi umwambie mwanao ujinga ukiwa umelewa,

Akikataa kutii Amri zako za kijinga, huo ni uasi mzuri.
UHuru una mipaka yake,huwezi kuhamasisha uasi halafu ukaachwa uendelee kusambaza kirusi cha chuki mbele ya uma wa Taifa lenye amani iliyo pambaniwa na waasisi wetu kwa jasho na damu.
 
Makamanda Leo wameufyata hawajaleta vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…