Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Mbona kama kwa idadi ni wachache tu, hao wavaa suti wengine ni watu wasio walinzi...
 
Si ndio tulivyokuwa tunasema. Hawa watu wengine they try to be too clever.
Matokeo yake,they walk along the street and they wonder if they have enough guards.
 
Naona tittle ya watu kujiita DR hapa JF inatumika ndivyo sivyo.
Mkuu jikite kwenye Hoja hizo personal attack au Character assasination hazitakusaidia kujibu hoja..
Anywei...Jifunze pia Sarcasm (sarcastic comments and sentences)
 
Jibu umesha pewa kua kiongozi hajipangii ulinzi yeye kama yeye,ila nimesoma comment zako naona unaendeshwa zaidi na chuki kwa NW.
 
Mbona harmonize ana walinzi 20 hamsemi 😂😂😂

Nimeshangaa gari ya escort ni Prado...?!!🤔😎😎
Mbona ndiyo gari ambazo zinatumika kwa sasa? Hapo mimi sioni shida prado nazo ni gari na zina speed mno. Escort ni gari inayowabeba walinzi na wanambinu zao wanazojua namna ya kushuka kw haraka ni mafunzo wameshapitia tafuta clips kwenye mitandao utaona namna walinzi duniani wanavyoshuka kwenye gari kama aina hizo. Pili hizo gari zimewaficha hivo huwezi jua wapo walinzi wa namna gani wangapi na wapoje. Cha msingi ni wapo fiti? na gari la kiongozi lipo sawa?
 
Jibu umesha pewa kua kiongozi hajipangii ulinzi yeye kama yeye,ila nimesoma comment zako naona unaendeshwa zaidi na chuki kwa NW.
Simchukii DPM kwa sababu Hata kidgo..

Ngoja nikuelekeze kitu mkuu huenda huzijui protocol za ulinzi binafsi au protocol za ulinzi wa kwa viongozi wa nchi....Basi sikiliza na utazame lecture

kuna aina mbili kuna ile mlosema wengi ya kupangiwa majukumu kulingana na hali ya kiusalama mara baada ya kupokea na kuwasilisha intel mbalimbali na kufanya mashauriano ya ndani ya ofisi ya usalama walinzi hupangwa na kuna njia nyingine ambayo kiongozi huomba kuongezewa....

Basi ntakueleza kwa Mihimili yote mitati

Kwa serikali

Kama ni kiongozi Wa serikalini wa middle class Basi ataomba kuongezewa ulinzi kwa kuandika proposal kwa kiongozi wake ndani ya wizara maana yake ataandika proposal kwa katibu mkuu wa wizara husika na wizara itamjibu baada ya kushauriana na Waziri mkuu kuona kama inafaa....

Ikiwa Mwombaji ni waziri basi huandika kwa Waziri mkuu akieleza Kwanini aongezewe ulinzi, na waziri mkuu atawasilisha hilo swala kwa Katibu mkuu kiongozi kwa ajili ya mashauriano na rais ili kuona kama inafaa..

Ikiwa ni waziri mkuu ataomba kwa kueleza sababu hizo kwa rais kwa kushauriana na Rais watapata suluhu....

Kwa Bunge
Kama kuna kiongozi yoyote wa Bunge atalzimika kikanuni kuwa na ulinzi atapatiwa ulinzi huo baada ya Spika kuridhia kwa mfamo KUB (Kiongozi wa upinzani Bungeni), Katibu wa bunge,Naibu spika na wengine..

Baada ya kuhisi anahitaji kuongezewa ulinzi kiongozi yoyote wa bunge mwenye kustahili kupata ulinzi huo ataandika barua kwa katibu wa bunge na proposal yke kwanini apewe ulinzi na baadae kwa kushauriana na Spika na waziri mkuu ,Ataweza kupitiwa/kuongezewa ulinzi..

KWA Mahakama
Ni same thing maombi hufika kaa Jaji mkuu na yeye ndo ataona kama ni sawa....

Sasa mkuu Swali langu liko pale pale kuwa DPM Kwanini kaongezewa ulinzi mkubwa namna hiyi je ilikuwa na ulzima kufanya hivyo au je kuna tishio gani katika usalama wake?
 
Simchukii DPM kwa sababu Hata kidgo..

Ngoja nikuelekeze kitu mkuu huenda huzijui protocol za ulinzi binafsi au protocol za ulinzi wa kwa viongozi wa nchi....Basi sikiliza na utazame lecture

kuna aina mbili kuna ile mlosema wengi ya kupangiwa majukumu kulingana na hali ya kiusalama mara baada ya kupokea na kuwasilisha intel mbalimbali na kufanya mashauriano ya ndani ya ofisi ya usalama walinzi hupangwa na kuna njia nyingine ambayo kiongozi huomba kuongezewa....

Basi ntakueleza kwa Mihimili yote mitati

Kwa serikali

Kama ni kiongozi Wa serikalini wa middle class Basi ataomba kuongezewa ulinzi kwa kuandika proposal kwa kiongozi wake ndani ya wizara maana yake ataandika proposal kwa katibu mkuu wa wizara husika na wizara itamjibu baada ya kushauriana na Waziri mkuu kuona kama inafaa....

Ikiwa Mwombaji ni waziri basi huandika kwa Waziri mkuu akieleza Kwanini aongezewe ulinzi, na waziri mkuu atawasilisha hilo swala kwa Katibu mkuu kiongozi kwa ajili ya mashauriano na rais ili kuona kama inafaa..

Ikiwa ni waziri mkuu ataomba kwa kueleza sababu hizo kwa rais kwa kushauriana na Rais watapata suluhu....

Kwa Bunge
Kama kuna kiongozi yoyote wa Bunge atalzimika kikanuni kuwa na ulinzi atapatiwa ulinzi huo baada ya Spika kuridhia kwa mfamo KUB (Kiongozi wa upinzani Bungeni), Katibu wa bunge,Naibu spika na wengine..

Baada ya kuhisi anahitaji kuongezewa ulinzi kiongozi yoyote wa bunge mwenye kustahili kupata ulinzi huo ataandika barua kwa katibu wa bunge na proposal yke kwanini apewe ulinzi na baadae kwa kushauriana na Spika na waziri mkuu ,Ataweza kupitiwa/kuongezewa ulinzi..

KWA Mahakama
Ni same thing maombi hufika kaa Jaji mkuu na yeye ndo ataona kama ni sawa....

Sasa mkuu Swali langu liko pale pale kuwa DPM kwanini kaongezewa ulinzi mkubwa namna hiyo je ilikuwa na ulzima kufanya hivyo au je kuna tishio gani katika usalama wake?
Kaongezewa ulinzi mkubwa na nani?

Umetaja hapo njia za kupata ulinzi wa ziada ila kwenye thd yako umesema "Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha naibu waziri kajimilikisha majeshi yetu na hasa usalama wa taifa na kulindwa na jeshi kubwa huku akiona sifa kama anaigiza muvi ya kivita''

Sasa wewe umejuaje kuo huo ulinzi ''kajimilikisha'' au kafuata taratibu za kiulinzi au amepewa ulinzi na wahusika?

Umejuaje kua anaona sifa kulindwa hivyo? ndio maana nimekwambia kua unaendeshwa na mihemko ya chuki kwa NW kitendo cha wewe kusema kua NW anaona sifa kulindwa hivyo kinathibitisha kua una chuki kwa NW halafu nyie mlioibuka na kujiita ma DR hapa JF muwe mnaelewa mnapoeleweshwa,msifikiri kujiita DR basi ndio kujua kila kitu na kuwaona wengine hawajui kitu,

Punguza chuki.
 
WALIO SEMA HAKUNA RAISI ATATOKEA KANDA YA ZIWA DAIMA NA MILELE , HAYA MKO. WAPIIII,....HAPOO NI IN MAKING......
Mnajidanganya tu, hawawezi rudia kumpa mshamba Urais. Huyo Dotto ndio kabisa hana exposure ndio atakua worse than JPM. Kawekewa hapo Ili kuonekana bado anamuenzi JPM akishapata kura za washamba hiyo 2024 na 2025 atambwaga asubuhi na mapema.

Mark this words
 
Kaongezewa ulinzi mkubwa na nani?

Umetaja hapo njia za kupata ulinzi wa ziada ila kwenye thd yako umesema "Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha naibu waziri kajimilikisha majeshi yetu na hasa usalama wa taifa na kulindwa na jeshi kubwa huku akiona sifa kama anaigiza muvi ya kivita''

Sasa wewe umejuaje kuo huo ulinzi ''kajimilikisha'' au kafuata taratibu za kiulinzi au amepewa ulinzi na wahusika?

Umejuaje kua anaona sifa kulindwa hivyo? ndio maana nimekwambia kua unaendeshwa na mihemko ya chuki kwa NW kitendo cha wewe kusema kua NW anaona sifa kulindwa hivyo kinathibitisha kua una chuki kwa NW halafu nyie mlioibuka na kujiita ma DR hapa JF muwe mnaelewa mnapoeleweshwa,msifikiri kujiita DR basi ndio kujua kila kitu na kuwaona wengine hawajui kitu,

Punguza chuki.
Sijasema kwamba hamjui kitu nachosema ni kitu kimoja...kama umesoma nilichokuandikia hapo juu utakuabaliana na mimi kwamba muamuzi wa nani aongezewe walinzi lazma uamuliwe na waziri mkuu...
Sasa kama waziri mkuu Kalindwa na Walinzi wengi hii inamaanisha yeye ndio alieagiza kifanyike hicho kilichofanyika .....

Wananchi mjue kutofautisha kati na CHUKI na UZALENDO uzalendo sio kusifia uzalendo ni kuwa na Uchungu na nchi yako na unapoona kitu hakijakaa sawa unapaswa kukikemea..

Kingine umesema sijui kuibuka Jf nimejoin Jf huenda kipindi hicho ulikuwa kindergarten nadhani au kama sikosei nahisi ulikuwa secondary au primary so stop using kuibuka wakati kujoin Jf umejoin 2018..
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Matumizi ya kijinga ya mali za umma
 
Sijasema kwamba hamjui kitu nachosema ni kitu kimoja...kama umesoma nilichokuandikia hapo juu utakuabaliana na mimi kwamba muamuzi wa nani aongezewe walinzi lazma uamuliwe na waziri mkuu...
Sasa kama waziri mkuu Kalindwa na Walinzi wengi hii inamaanisha yeye ndio alieagiza kifanyike hicho kilichofanyika .....

Wananchi mjue kutofautisha kati na CHUKI na UZALENDO uzalendo sio kusifia uzalendo ni kuwa na Uchungu na nchi yako na unapoona kitu hakijakaa sawa unapaswa kukikemea..

Kingine umesema sijui kuibuka Jf nimejoin Jf huenda kipindi hicho ulikuwa kindergarten nadhani au kama sikosei nahisi ulikuwa secondary au primary so stop using kuibuka wakati kujoin Jf umejoin 2018..
Jamaa wanajiamulia tu wapendavyo mali za umma zitawanywa
 
Back
Top Bottom