DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #101
Its a sarcastic version mkuuRais wa Marekani hana ulinzi huo! Hahahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its a sarcastic version mkuuRais wa Marekani hana ulinzi huo! Hahahahahaa
Dokta acha banaaa[emoji1787][emoji1787]Wakati huo WAZIRI MKUU MWENYEW HAJAWAHI KUWA NA ULINZI HUO UNA MAANA CHEO CHA NAIBU WAZIRI MKUU NI KIKUBWA KULIKO WM MWENZEWE
Nchi yetu imejaa wanafiki na machawa. Ukiwa kiongozi, usipokuwa na hekima, machawa yanaweza kukufanyia vituko vya kila aina ya kukupamba, na ukiwa mjinga utafurahia na kukenua meno.Kosa la Mh.Biteko ni nini katika huo ulinzi ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lazima Serikali ya CCM ifanye hivyo na ukiona hivi ujue hali ya usalama na amani ya Nchi si shwari. Hawa jamaa wanawindana wao kwa wao kama pongo Serengeti. Hali si shwari.Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150
🤣 Kwahiyo unataka kumixi na Rubisi?Nasikia kuna Wanzuki, nileteeni wanzuki!
🤣🤣🤣🤣Dokta acha banaaa[emoji1787][emoji1787]
Waziri mkuu anazungukwa na walinzi zaidi ya 10......[emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tatizo mnaongea kishabiki, halafu hapo wengi si walinzi maana hata Jerry Silaa yupo na viongozi wengine. Mkiona suti na kaunda mnadhani TISSWakati huo WAZIRI MKUU MWENYEW HAJAWAHI KUWA NA ULINZI HUO UNA MAANA CHEO CHA NAIBU WAZIRI MKUU NI KIKUBWA KULIKO WM MWENZEWE
Yaah hatari ipo....Kuna vitu natamani tuwe tunaenda kwa uhalisia, historia au data.
Ni viongozi wangapi wa chini ya raisi waloshawahi kuwa matatani hata kukawa na ulazima wa kutumia nguvu kubwa ya ulinzi.
Mbona naona hali ni shwari au intelijensia huwa inaonesha kuna hatari!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais wa Marekani hana ulinzi huo! Hahahahahaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo unataka kumixi na Rubisi?
Kupanda cheo au kuogezewa majukumu kumesababisha maadui wake au wa serikali waongezeke au ni mbwembwe tu za madaraka!Sasa nchi ya amani kama hii ulinzi wote huo wa nini hata Rais wa marekani hana ulinzi huo
[emoji1787][emoji1787]Tatizo mnaongea kishabiki, halafu hapo wengi si walinzi maana hata Jerry Silaa yupo na viongozi wengine. Mkiona suti na kaunda mnadhani TISS
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu. Me huwa nalipa tu naendelea na maishajukumu lako kuhakikisha kodi yako ina tumika kwa matumizi stahiki kulingana na katiba
Kuna faida gani ya kuishi kwa kujificha mbona hatumuoni kwenye mikutano kama wa jana ule.?
Duniani kote hali huwa si shwari...Lazima Serikali ya CCM ifanye hivyo na ukiona hivi ujue hali ya usalama na amani ya Nchi si shwari. Hawa jamaa wanawindana wao kwa wao kama pongo Serengeti. Hali si shwari.
To every action there's an equal and opposite reaction.....Kuna faida gani ya kuishi kwa kujificha mbona hatumuoni kwenye mikutano kama wa jana ule.?
Mbona walishindwa kumlinda Magufuli asife kizembe?Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150