SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
🤣 Kwahiyo unataka kumixi na Rubisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Kwahiyo unataka kumixi na Rubisi?
Yeye aliyepo motoni ndiye anatesekaNaona Shujaa bado anakutesa sana
Eti kajimilikisha, tatizo ni lugha au umeamua kupotosha tuNaona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Ya Uwaziri Mkuu ???!! Au ??!Maandalizi
Huyo naye asiwasumbueMbona walishindwa kumlinda Magufuli asife kizembe?
Well...Nchi yetu imejaa wanafiki na machawa. Ukiwa kiongozi, usipokuwa na hekima, machawa yanaweza kukufanyia vituko vya kila aina ya kukupamba, na ukiwa mjinga utafurahia na kukenua meno.
Kwa hiyo watu wanaokuzunguka wanafanya kwa kuona wewe unapenda nini. Kama wakigundua unapenda sifa, watakupamba kwa sifa, nawe kwa ujinga utaona kama vile tangu Ulimwengu uumbwe, hakukuwahi kuwa na mtu mwema na anayefaa kwa uongozi kama wewe.
Wanayoyatenda wasaidizi wa Biteko au hata walinzi wake yatakuwa yanaashiria hulka yake, ndiyo maana Dr Mpango alipoona ujinga wa askari wa kusimamisha magari zaidi ya masaa mawili ili yeye apite, alikemea kwa nguvu, na ikaisha. Ila kwa huyu nadhani watu wanaweza kusimamishwa hata masaa matano, atabakia anafurahia. Unaibu Waziri Mkuu, ambao haumo hata kwenye katiba ya nchi, na wala hauna mamlaka yoyote ya dola, wala hachaguliwi na wananchi, mtu akamwue kwa nia ya kupata nini?
Bado ni mapema mno ! Tusubiri tuone. !Yeah hilo ni kweli kabisa ila muda kumpa ni vigumu kwa sababu ana kofia kubwa na ndogo ila ndogo naona inataka kumshinda
[emoji7]Eti kajimilikisha, tatizo ni lugha au umeamua kupotosha tu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Sasa kama hapo kulikuwa na ulazima ganiIdadi hubadilika kulingana na mahali na tukio. Lakini kama lilikuwa swalanla kawaida, aisee hao ni wengi sana..
Nimeshakutana na VP mara kadhaa, hana walinzi wengi namna hiyo. PM pia hana cycle kubwa ya walinzi kama huyo VPM.
Ni wengi sana aisee!.
Stress kibao halafu no peace of mind !! Ni shida sana ila pesa wanazo za kutisha !!Bora ya sisi tuliokuwa huku uraiani katika mabanda ya komoni....hao jamaa HAWAINJOI chochote....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya kumiliki kumiliki ni kuwafanya kama wako vileEti kajimilikisha, tatizo ni lugha au umeamua kupotosha tu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Huwezi kujua intelijensia ilikuwa inasemaje pande ile. !Sasa kama hapo kulikuwa na ulazima gani
Hao hapo nyuma wamevaa kiraia ni walinzi watupu hadi mtu wa ishirini 25 au 30 ni walinzi wa karibu, so hapo kuna ulinzi wa kutosha hadi basi yaaniMbona waziri hana ulinzi huo ambaye yeye ndo mkubwa..
Ukiwa na Picha ya waziri mkuu akilindwa hivyo naiombaView attachment 2748176View attachment 2748175
Hahahaha 🤣🤣 mgao wa umeme kuisha vigumu mafuta yenyew sahz 5000 per litreHuwezi kujua intelijensia ilikuwa inasemaje pande ile. !
Usilolijua ni usiku wa giza !! Hayo hayatuhusu sisi tunataka mgao wa umeme uishe !🙏🙏
Duh 🙄 watatumaliza !Hahahaha 🤣🤣 mgao wa umeme kuisha vigumu mafuta yenyew sahz 5000 per litre
Chizi huyo,ujuaji mwingi!Hao walinzi sio wanapangiwa na kitengo Cha ulinzi wa viongozi?
[emoji106]Stress kibao halafu no peace of mind !! Ni shida sana ila pesa wanazo za kutisha !!
Hakuna Waziri Mkuu amewahi kufanikiwa kupanda cheo Nchini TZ