Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.

Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na Uvimilivu Wao wa hali ya juu siamini kwamba Polisi wa Tanzania wana Ubavu wa Kuwatesa au hata Kuwamaliza tu mazima.

Kwa mtizamo wangu ( ambao hata hivyo naomba Uheshimiwe ) ni kwamba huenda hawa Makomandoo waliopo katika Kesi ya Mbowe ( Freeman ) waliteswa na Watu wengine kutoka Taasisi zingine ila Jeshi la Polisi Tanzania ni kama tu limetupiwa Zigo la Mavi ili Wahusika wajifiche na wasihusishwe katika Visasi ambavyo nasikia vinaandaliwa taratibu dhidi yao na kuna Watu huenda wakazikimbia hata Ofisi zao kimya kimya.
 
Wale makomando wa kina lingwenya walikuwa unarmed halafu polisi walikuwa nyomi jamaa alikua outnunbered alafu kila komando mmoja alikamatwa akiwa peke yake (kwa muda tofauti tofauti) hawakukamatwa wote kwa pamoja

Na kipindi wanakamatwa hao mapolisi walikua na silaha nzito, kwa hiyo hata wale uliowaona jana wamebeba kimkoba mgongoni wanaweza kudhibitiwa katika mazingira kama hayo ambayo yaliwakuta makomando wa mbowe
 
Wale makomando wa kina lingwenya walikuwa unarmed halafu polisi walikuwa nyomi jamaa alikua outnunbered alafu kila komando mmoja alikamatwa akiwa peke yake hawakukamatwa wote kwa pamoja

na kingine wale jamaa wanafundishwa nidhamu na kutii mamlaka ya serikali yao.
 
MMkuu umbo halikuzuii kutokamatika, ili uweze kujua hilo jiulize ili ukamatwe kunatakiwa kuwe na nn na nn?

Wale makomandoo wa mbowe na uhakika wa asilimia 75% kwa yale mateso waliyoteswa wakipatiwa wa raia wa kawaida mbona tungeongea mengine sasa hv....
Pamoja na kuteswa vile jamaa bado wapo japo wamedhohofishwa
 
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.

Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na Uvimilivu Wao wa hali ya juu siamini kwamba Polisi wa Tanzania wana Ubavu wa Kuwatesa au hata Kuwamaliza tu mazima.

Kwa mtizamo wangu ( ambao hata hivyo naomba Uheshimiwe ) ni kwamba huenda hawa Makomandoo waliopo katika Kesi ya Mbowe ( Freeman ) waliteswa na Watu wengine kutoka Taasisi zingine ila Jeshi la Polisi Tanzania ni kama tu limetupiwa Zigo la Mavi ili Wahusika wajifiche na wasihusishwe katika Visasi ambavyo nasikia vinaandaliwa taratibu dhidi yao na kuna Watu huenda wakazikimbia hata Ofisi zao kimya kimya.

Hata uwe Rambo watu 10 wakikuvamia hata Kama wana vitambi hufurukuti!

Nafikiri unaangalia sana filamu zinazotafsiriwa Kiswahili; wale huwa waongo.
 
Wale makomando wa kina lingwenya walikuwa unarmed halafu polisi walikuwa nyomi jamaa alikua outnunbered alafu kila komando mmoja alikamatwa akiwa peke yake hawakukamatwa wote kwa pamoja

Na kipindi wanakamatwa hao mapolisi walikua na silaha nzito, kwa hiyo hata wale uliowaona jana wamebeba kimkoba mgongoni wanaweza kudhibitiwa katika mazingira kama hayo ambayo yaliwakuta makomando wa mbowe
Au inawezekana walipigwa Ambush🤔kwa maana mkipigwa Ambush ni ngumu sana kuchomoka
 
Hata uwe Rambo watu 10 wakikuvamia hata Kama wana vitambi hufurukuti!

Nafikiri unaangalia sana filamu zinazotafsiriwa Kiswahili; wale huwa waongo.
Aisee labda Rambo huyu, ila Rambo yule wa sinema, kina King'ai wangekuwa "wameshapandishwa vyeo" 😆
images (40).jpeg
 
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.

Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na Uvimilivu Wao wa hali ya juu siamini kwamba Polisi wa Tanzania wana Ubavu wa Kuwatesa au hata Kuwamaliza tu mazima.

Kwa mtizamo wangu ( ambao hata hivyo naomba Uheshimiwe ) ni kwamba huenda hawa Makomandoo waliopo katika Kesi ya Mbowe ( Freeman ) waliteswa na Watu wengine kutoka Taasisi zingine ila Jeshi la Polisi Tanzania ni kama tu limetupiwa Zigo la Mavi ili Wahusika wajifiche na wasihusishwe katika Visasi ambavyo nasikia vinaandaliwa taratibu dhidi yao na kuna Watu huenda wakazikimbia hata Ofisi zao kimya kimya.
pamoja na kuteswa kote kule, lakini jamaa ukiwaangalia pale mahakamani bado wanaonyesha tabasamu na utimamu wa kimwili. jiulize mateso yale angepitia raia wa kawaida wa mtaani, angekuwa kwenye hali gani?.
 
Mkuu, kwanini waanze kupambana wakati polisi amekuja kukukamata? Yaani polisi kafika tu then Jamaa aonyeshe ukomandoo?!!

Kwa Akili ya kawaida tu polisi kaja, anakukamata unamwambia sawa, twende kituoni nikajue kinachoendelea, ila polisi kafika, hajamaliza salam ushamtia ngeta!!! Moja kwa moja unajua hapa kuna kitu.. pia unakua umewapa sababu ya kukushona risasi.
 
Back
Top Bottom