Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

Kuna jamaa aliletaga story hapa JF eti JK aliendaga kuwasalimia hao makomandoo darasani kwao eti Ile amemaliza kuongea nao akageuka nyuma tu hivi wotewakapotea kimiujiza. 😄😄 Utoto Ni raha Sana aisee.Wakina kingai hawajali hayo mambo ya miujiza wao Ni Mateso tu.
 
Mbona kwenye movie wanakutana sterling na jambazi, sterling amebeba bunduki na jambazi yupo mikono mitupu.

Jambazi anamwambia sterling tupa silaha chini tupigane like real mens[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwanini polisi wamevunja utaratibu wa mapambano, wangeweka silaha pembeni komando apigane na polisi mmoja mmoja baadae polisi wamchangie.
😄😄 Shaolin soccer.
 
Kuna wanajeshi Fulani walikuja kukamata masela waliokuwa wanavuta kijiti karibu na kambi ya jeshi.Walikuja MP wawili na Komandoo mmoja.Kisa ilikuwa mwenzao(mwanajeshi) kuwazingua masela.Sasa akaja huyo komandoo kama chambo,na anajulikana kuwa yeye ni nani mtaani.Basi kaenda maskani katoa elfu 5 anataka kijiti,akawa analazimisha arudishiwe chenji hapo hapo.Ndipo msela mmoja akamuuliza kwani vipi!?Ndipo huyo komandoo akamvamia msela na kuanza kumpa kipigo.Jamaa nae Yuko fiti akajibu mapigo na kumzidi komandoo.Ikabidi Yule komandoo ajikinge uso wake na kung'ang'ania fulana ya msela.Msela akajivua fulana na kukimbia.Wale wanajeshi wengine(MP) waliokuwa wamewazuia masela wengine.Ikabidi yule komandoo awaambie wenzie wawaachie wale masela.
Peleka uongo wako huko!
 
Aisee.

Natamani kuelewa ila nimeshindwa.

Kwamba Komandoo alinunua kijiti akanyimwa chenji yake? Afu akapigana akaishia kupigwa? Afu Jamaa aliyempiga akakimbia? Afu Komandoo akawaambia Ma-MP wawaachie Masela?
Hahahahahahaha hahahahahaha mh aiseeee
 
Aisee.

Natamani kuelewa ila nimeshindwa.

Kwamba Komandoo alinunua kijiti akanyimwa chenji yake? Afu akapigana akaishia kupigwa? Afu Jamaa aliyempiga akakimbia? Afu Komandoo akawaambia Ma-MP wawaachie Masela?
Hahahahaha yani Kuna siku tutaunda jeshi humu
 
Aisee.

Natamani kuelewa ila nimeshindwa.

Kwamba Komandoo alinunua kijiti akanyimwa chenji yake? Afu akapigana akaishia kupigwa? Afu Jamaa aliyempiga akakimbia? Afu Komandoo akawaambia Ma-MP wawaachie Masela?
Elewa hivyo tu!Yaani kanunua kijiti papo hapo ana-force chenji chapu kwa haraka.Ndio msela mwengine akamuuliza shida nini bro?Akaambiwa subiri utapewa.Yeye(komandoo) akaenda kumvaa huyo msela,kifupi alikuja kishari.Kumbuka yeye alivaa kiraia.MP walikuwa wamejificha baada ya vurumai ndio wakawadhibiti masela wengine.Yeye na huyo msela wakawa wanapambana pembeni.Aliposhindwa kumthibiti huyo msela,Kwa hasira akawaambia askari wenzake wawaachie hao masela.
 
Walishitukizwa,, kama wangekua wanajua kama watakamatwa, mbona tungesikia mengine mara polisi kapigwa mpaka kikojoleo kimekutana mdomo au tumbo limekutana na mgongo
 
Kuna wanajeshi Fulani walikuja kukamata masela waliokuwa wanavuta kijiti karibu na kambi ya jeshi.Walikuja MP wawili na Komandoo mmoja.Kisa ilikuwa mwenzao(mwanajeshi) kuwazingua masela.Sasa akaja huyo komandoo kama chambo,na anajulikana kuwa yeye ni nani mtaani.Basi kaenda maskani katoa elfu 5 anataka kijiti,akawa analazimisha arudishiwe chenji hapo hapo.Ndipo msela mmoja akamuuliza kwani vipi!?Ndipo huyo komandoo akamvamia msela na kuanza kumpa kipigo.Jamaa nae Yuko fiti akajibu mapigo na kumzidi komandoo.Ikabidi Yule komandoo ajikinge uso wake na kung'ang'ania fulana ya msela.Msela akajivua fulana na kukimbia.Wale wanajeshi wengine(MP) waliokuwa wamewazuia masela wengine.Ikabidi yule komandoo awaambie wenzie wawaachie wale masela.
Atakuwa kipensi tu huyo
 
Siamini kama wale kweli ni Makomandoo wa JWTZ Ndugu. Komandoo gani unaweza Kudakwa Kizembe na Mapolisi halafu bado Ukateswa nao wakati Wewe una Mafunzo ya hali ya juu ya Kimedani tena ya hata 200% huku Wao Polisi yao yakiwa ni ya 30% tu?
Mkuu, wale wakati wanakamatwa, hawakuwa wamejiandaa, kwa sababu hawakuwa kwenye mipango ya UGAIDI. Wasingeweza kukamatwa kirahisi vile.
 
Si huwa nasikia hawa Jamaa wamekomaa sana, huwa hawaumii hata wateswe vipi, pia wanajua Uchawi ( Mazingaombwe ) na kwamba wanajua Kupigana tena ile Combat Karate / Combat Kung Fu kiasi kwamba Komando Mmoja anaweza Kupigana na Watu kati ya 25 mpaka 50 na Wote akawafletisha / akawashinda hata wakiwa na Silaha na Yeye akiwa hana kutokana na Mafunzo ya hali ya juu aliyonayo?

Sasa hawa wa Kesi ya Mbowe imekuwaje hadi wakaweza Kukamatwa kirahisi kama Panya Buku wa Mtwara, Ruvuma na Lindi mpaka Kuteswa hivyo na wanabaki tu Kulalamika Mahakamani?

Kuna Komando Mmoja aliwahi kuniambia kuwa Makomandoo Wanne tu wakiamua Kukinukisha Dar es Salaam nzima na tuwe tunalala Saa 9 Alasiri au Wote tujifungie ndani kwa Uwoga huku tukijinyea na Familia zetu wanaweza kutokana na Mafunzo yao ya hali ya juu.

Kwa wale Makomandoo niliowaona Juzi uwanja wa Uhuru Siku ya Uhuru na ule Umahiri wao, Ukomavu na Ukakamavu wao wa hali ya juu KEROZENE naanza kuhisi kuwa huenda hawa Makomandoo wa Kesi ya Mbowe siyo Makomandoo kweli bali ni Samjo Samjo / Waongo Waongo tu.
Akiwa equeped
 
Sasa huyo Ling'wenya alikuwa mkufunzi wa makomando na mojawapo ya sherehe za uhuru aliwahi kuwepo kwenye kikosi kilichofanya onesho la. Makomando.
Huyo anayepiga saluti hapo.
Na pia unapaswa ujue kuwa mafunzo ya mapigano cha kwanza unafundishwa nidhami na utii kwa sheria na mamlaka. Huwezi tu kiwa unapigana ovyo kwa kuwa una mafunzo. Vipi wangepigana halafu itokee ilikuwa ni mistaken identity?
Ingekuwa ukishakuwa komando unaweza kupigana ukijisikia basi ingekuwa wakifukuzwa jeshini wabaingia kwenye ubondia au michezo mingine ya mapigano.
Pia kama ingetokea wakajaribu kujitetea mbele ya silaha huenda wangedhuriwa ama vinginevyo wangethibitisha kweli walikuwa wanapanga ugaidi.
Jeshini unafundishwa anticipation. Unatulia unasoma mazingira halafu unatumia fursa sahihi kureact.

20210928_005532.jpg
 
Kwenye vita ni timing na sio ukomandoo wako,au silaha kali uliyonayo.
Kuwa comandoo hakumaanishi huwezi dhibitiwa,dhana ya kuwapa nguvu makomandoo ni movies za utotoni enzi hizo nyingi zilikuwa za makomandoo so Jamii imeshalijenga hilo mawazoni kwamba awashindwi kitu.
Timing ndio KILA kitu,ukishamtaimu adui yako achomoki.
 
Hii hata mimi nilikuwa najiuliza sana. Sidhani kama hao makomandoo wa mbowe ni kweli makomando na pia sijui kwanini waliachishwa/acha kazi
 
Back
Top Bottom