Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Hapa kapatikana huyu jamaa
 
Nimemuuliza Swali huyo 'Mpuuzi' Mwenzio hapo juu lipitie na mkumbushe kuwa nasubiria Jibu lake au kama vipi Wewe 'Mkewe' unaweza Kumjibia.
Leo umepatikana MBWA wewe maana umezoea kutukana waume zako humu kenge mvaa shanga wewe
 
Huyu jamaa kaongea ktu kuntu San
 
Huyu jamaa ni bogus kwa kuzaliwa
 
Leo umepatikana MBWA wewe maana umezoea kutukana waume zako humu kenge mvaa shanga wewe

Naona umeamua kuja na ID yako hii nyingine 'Kunishambulia' ukidhani kuwa kwa 'Uzoefu' wangu mkubwa sana wa kuwa hapa sitokujua. Pumbavu!
 
Huyu wakati wa vita ile ya genocide atakuwa aliona uke wa mama yake ndy maana akili iko hovyo sana

Mbona hata wa 'Mamaako' natiririka na naserereka nao tu 'Kibaiolojia' 24/7 na wala hushangai au hauhoji?
 
Msimkuze na kumpa kichwa hana ubavu huo nyie, hana la kufanya hata afanyeje na awamu hii wanamlipua kabisaa wasiojulikana,acha atambe akidhani wamemsahau ana maneno ya kilesbian sana...tunza hii comment
Sasa uchaguzi wa nini ?!
 
Ndo ilivyo maisha ni classes, ila fahamu kuwa hats huyo mwamba wako Magu afui dafu hata kidgo kwa wakili Msomi Tundu lissu..
Magu ni Kenge tu kama kenge wengine kwa Tundu Lissu mzee wa haki
 
Umoja wa kumtumia Jecha au mimi sijakuelewa...
 
Kwani 'Katiba' ni 'Msahafu' mpaka usiwe na Mabadiliko ya 'Kikanuni' na 'Kiutaratibu' pale inapobidi kulingana na 'Mazingira' husika? Hebu msinikere!
Ukisikia kizibo basi ndio ninyi..kila siku mnalalamika humu jukwaani kuwa wazanzibar hawapewi haki zao..lkn kwa maslahi yenu unaongelea rais na makamu wake watoke bara!!!Kama sio upashukuna ni nini!
 

Yaani hamjui kusoma picha
Membe ameamua na chama chake huku bara wamuachie Lisu, kinachofanyika kwa sasa ni ku by time tu ili asipite mikoa mingi aliyopita Lisu.
Na kule zanzibar chadema watamuachia maalim saif kabisa ila za jamhuri atapata Lisu.

Uchaguzi huu upo very strategic sana.

Kumbukeni wapo walio vaa magwanda wengi ndio wanampa mbinu Lisu namna ya kutamba na jukwaa.

Walioonewa katika utawala huu yawezekana ndio wanaofichua siri. Its matter of time mzee atashangazwa sana kitakachotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…