Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Ukisikia kizibo basi ndio ninyi..kila siku mnalalamika humu jukwaani kuwa wazanzibar hawapewi haki zao..lkn kwa maslahi yenu unaongelea rais na makamu wake watoke bara!!!Kama sio upashukuna ni nini!

You're an 'Authentic' Idiot.
 
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa (Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.

Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Hivi unajua katiba inasema nini kuhusu mgombea mwenza,au ndio mnaamua kutumalizia bando zetu kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom