Gmox
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 319
- 478
Wasalaam ,
Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.
Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.
Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.