Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

Wasalaam ,

Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.

Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.

Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.
yani mkuu umesindwa kuwalea watoto wewe kijana wa miaka 30 unamwapeleka kwa bibi alafu unatarajia wasimamiwe vema kimalezi ?! Mbona mkosaji wa kwanza ni wewe mkuu. Bibi yao kishachoka na umri yani kakulea wewe unataka awalee na watoto wako jamaa unayumba budda.
 
Athari za kutengana....mara nyingi watoto ndio huathirika zaidi!

Umejiuliza kwanini bibi Yao anaangalia tu...au yeye ndie chanzo Cha tatizo!?
Anasema amepiga amechoka mtoto hakomi maana muda mwingi wanakua peke yao hasa wakisha rudi shule saa kumi na moja jioni bibi yao anafika saa moja
Na wewe baba mtu Hadi unaandika hapa umeshachukua hatua gani za kuwatenganisha baada ya kuona kipigo hakisaidii!?

Huyo wa kike Kwa umri huo alipaswa aishi na mama yake hata kama mmetengana...labda utuambie mama alikuwa na changamoto kubwa ipi iliyokufanya uone hastahili kubaki na mtoto mdogo tena wa kike anayehitaji ukaribu zaidi wa mama yake???
Mama yake alitoroka na kuwaacha😥
Mwisho kabisa....kama ulifanya maamuzi ya kuchukua watoto kinguvu ili umkomoe mzazi mwenzio ona Sasa unaishia kumkomoa mtoto mdogo asiye na hatia.

Inapofika suala la wazazi kutengana tenganeni huku maslahi ya makuzi na malezi ya watoto mkiyaweka mbele, shida zenu msiwapelekee watoto waishie kwenye matatizo makubwa kama haya.
 
Wewe kama baba umepata taarifa hiyo na bado upo hujachukua hatua? Hamisha mtoto mmoja ukae nae hasa huyo wa kiume ili umuangalie kwa ukaribu!...Pole sana kwa bint na kwako pia.
🙏🙏
 
Ndio madhara ya wazazi kutengana, msione watu wanavumiloana mkadhani wanapenda kumbe wanawaza mustakabali wa maisha ya watoto wao. Huko nje watoto malezi bila wazazi wote ni changamoto sana ni magumu. Hapo cha kufanya chukua huyo wa kiume kakae nae na kila siku uumpe nashaha za maisha na upumbavu anaoufanya kama haelewi mbata zitembee mpk akikiona kidudu chake aone kama kituo cha polisi
 
Anasema amepiga amechoka mtoto hakomi maana muda mwingi wanakua peke yao hasa wakisha rudi shule saa kumi na moja jioni bibi yao anafika saa moja

Mama yake alitoroka na kuwaacha[emoji26]
Duh hapo kwenye mama kuwaacha watoto....

Tafuta namna watoto wawe na mlezi kabla bibi Yao hajarudi...ikiwezekana ishi nao uwe na ukaribu nao

La sivyo mtoto ataharibika, au lah watakuwa wakubwa na utaona Binti ana mimba ya kaka yake
 
Wasalaam ,

Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.

Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.

Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.
Mtoto wako ni jini
 
Back
Top Bottom