Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

Wasalaam ,

Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyo pita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.

Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki , na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.

Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.
Hamisha huyo wa kiume UISHI NAYE WALA USIJARIBu KUMPELEKA SHULE YA BWENI maana huko atakurana na mashetani wenzie. Hauna muda mrefu wa kumrekebisha maana karibu atabalehe na itakuwa balaa. AtABAKA NA KUFUNGWA MAISHA UTAMKOSA.
 
Athari za kutengana....mara nyingi watoto ndio huathirika zaidi!

Umejiuliza kwanini bibi Yao anaangalia tu...au yeye ndie chanzo Cha tatizo!?

Na wewe baba mtu Hadi unaandika hapa umeshachukua hatua gani za kuwatenganisha baada ya kuona kipigo hakisaidii!?

Huyo wa kike Kwa umri huo alipaswa aishi na mama yake hata kama mmetengana...labda utuambie mama alikuwa na changamoto kubwa ipi iliyokufanya uone hastahili kubaki na mtoto mdogo tena wa kike anayehitaji ukaribu zaidi wa mama yake???

Mwisho kabisa....kama ulifanya maamuzi ya kuchukua watoto kinguvu ili umkomoe mzazi mwenzio ona Sasa unaishia kumkomoa mtoto mdogo asiye na hatia.

Inapofika suala la wazazi kutengana tenganeni huku maslahi ya makuzi na malezi ya watoto mkiyaweka mbele, shida zenu msiwapelekee watoto waishie kwenye matatizo makubwa kama haya.
 
Huo ni uchawi kuna mtu anafanya kukukomoa...
Iwe ni upande wa mama yao au wewe na bibi
 
Wasalaam ,

Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyo pita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.

Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki , na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.

Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.
Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa huyo mwanao wa kiume ameiga tabia zako. Wewe una miaka 25, mtoto wako ana 8, ina maana ulimpata ukiwa na miaka 17. Hii inamaanisha ulianza kuwaingilia wanawake ukiwa hata na umri wa miaka 8. Kwa hiyo mtoto amerithi kwa baba, sasa utamlaumu nani wakati hii ni heredity?
 
Mgomba unashindwaje na mkungu? endelea kumchekea mkuu atakuja kumwingilia mtoto wa mwingine ndo utajua kisanga chake. Usimpige bakora huyo dogo mfanyie "kunji" kabla hajafika umri wa balehe. Ukimshindwa mlete kwangu.
 
Mtoto kashavimiwa na roho chafu huyo. Hilo ni jambo la kiroho mtoto wa miaka8 hizo hamu anapata wapi kama sio mizimu na mapepo

Tafuta msaada wa kiroho haraka maana yanayofuata ni hatari zaidi

Pole sana
Nyota njema huonekana asubuhi. Na nyota mbaya huonekana asubuhi.
 
Mkuu mama yao nimetengana nae miaka mi4 iliyo pita haya ya metokea kusnzua kipindi cha hivi karibuni😥
Unafanya mapenzi na mama yao mbele ya watoto wewe unategemea nini?
 
Au bibi anapiga show mbele yao au wanasikia milio ya bibi akiwa anasuguliwa ndio maana na watoto nao wameanza kufanyia kazi urithi wa bibi..?
Bibi yao anaishi yeye na wao tu 😥✍️
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa huyo mwanao wa kiume ameiga tabia zako. Wewe una miaka 25, mtoto wako ana 8, ina maana ulimpata ukiwa na miaka 17. Hii inamaanisha ulianza kuwaingilia wanawake ukiwa hata na umri wa miaka 8. Kwa hiyo mtoto amerithi kwa baba, sasa utamlaumu nani wakati hii ni heredity?
Nimesema ni kati ya 25 na 30 mkuu😥
 
Wasalaam ,

Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao.

Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8 sasa na wa kike ana miaka 5 sasa ajabu ni kwamba huyu wa kiume amekuwa akimwingilia kimwili mdogo wake kiasi cha kutisha yaani ameonywa kwa fimbo mpaka shule lakini bado habadiliki na hatari ni kuwa imefikia kipindi mpaka anamuumiza na bibi yao yuko kimya anaogopa kunijuza.

Sasa hii ni mbaya kwaajili ya hatma ya mwanangu wa kike naombeni ushauri wakubwa.
Hao watoto kwa nin usingewaacha kwa mama yao ukawa unalipa ada na mahitaji unanunua unapeleka.
Malezi ya mama uwezi linganisha na malezi ya bibi, Wangekua na mama yao kungekua na unafuu zaid ya huko kwa bibi yao.
Wapeleke hao watoto wote hospital.
 
Chukuwa wa kiume ishi naye,wa kike mpeleke akakae na mama yake,afu watoto mue mnalea wenyewe jaman bibi nayeye anahitaji kupumzika siyo kuanza kulea wajukuu na mathara ndio Kama hayo.Wewe hujiongezi mpka amekulea ww umefikia umri huo yeye hajachoka tu akulele na watoto khaaa.
 
Yan kama ndo umeshindwa kutatua hilo ttz we ni jinga la mwisho kbs tena unapaswa kulaumiwa kwa kuchelewa kusolve hlo ttz hata huyo mtt wako wa kike akulaumu ww dingi kwakuwa na akili mtofu
 
Back
Top Bottom