Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

yani mkuu umesindwa kuwalea watoto wewe kijana wa miaka 30 unamwapeleka kwa bibi alafu unatarajia wasimamiwe vema kimalezi ?! Mbona mkosaji wa kwanza ni wewe mkuu. Bibi yao kishachoka na umri yani kakulea wewe unataka awalee na watoto wako jamaa unayumba budda.
 
Athari za kutengana....mara nyingi watoto ndio huathirika zaidi!

Umejiuliza kwanini bibi Yao anaangalia tu...au yeye ndie chanzo Cha tatizo!?
Anasema amepiga amechoka mtoto hakomi maana muda mwingi wanakua peke yao hasa wakisha rudi shule saa kumi na moja jioni bibi yao anafika saa moja
Mama yake alitoroka na kuwaacha😥
 
Wewe kama baba umepata taarifa hiyo na bado upo hujachukua hatua? Hamisha mtoto mmoja ukae nae hasa huyo wa kiume ili umuangalie kwa ukaribu!...Pole sana kwa bint na kwako pia.
🙏🙏
 
Ndio madhara ya wazazi kutengana, msione watu wanavumiloana mkadhani wanapenda kumbe wanawaza mustakabali wa maisha ya watoto wao. Huko nje watoto malezi bila wazazi wote ni changamoto sana ni magumu. Hapo cha kufanya chukua huyo wa kiume kakae nae na kila siku uumpe nashaha za maisha na upumbavu anaoufanya kama haelewi mbata zitembee mpk akikiona kidudu chake aone kama kituo cha polisi
 
Anasema amepiga amechoka mtoto hakomi maana muda mwingi wanakua peke yao hasa wakisha rudi shule saa kumi na moja jioni bibi yao anafika saa moja

Mama yake alitoroka na kuwaacha[emoji26]
Duh hapo kwenye mama kuwaacha watoto....

Tafuta namna watoto wawe na mlezi kabla bibi Yao hajarudi...ikiwezekana ishi nao uwe na ukaribu nao

La sivyo mtoto ataharibika, au lah watakuwa wakubwa na utaona Binti ana mimba ya kaka yake
 
Mtoto wako ni jini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…