Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

Unaandika kama mfuasi wa upinde, au goli lipo wazi tuzamishe mpira?

Alipakwa mafuta huyu majuzi tu hapa aisee
 
Endelea kumfukulia kaburi nahc kajisahau ...La sivyo tukacheki file lake mirembe Inawezekana ametoroka
 
Kale kanyoka hakajaanza kuumwa?
 
Mshukuru Mungu kwa ulichopata

Ila usijkweze ni neema ya Mungu imekufikisha hapo


Usione wengine wazembe au vipi
 
Admin, mada kama hii inatusaidia nini? Tumekosa ya kujadili?
 
Kwenye maisha yako yotee....kuna mambo mawil hupaswi kuyafanya....KUPOST PESA ZAKO na kingine...KUMPOST MKE WAKO KWA SHOW OFF....huwaamin endelea...Mifano tunayo mingi tu...na yamewatokea puani...
 
Mwandiko wa mtu aliyepoteza ubingwa [emoji706]
 
Hakuna haja ya kutangaza unacho miliki
Ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…