Man Rody
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,263
- 2,987
Unaandika kama mfuasi wa upinde, au goli lipo wazi tuzamishe mpira?
Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili. Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba...
Alipakwa mafuta huyu majuzi tu hapa aisee