Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?


Mbona unajicontradict na post zako?
 
Halafu una kufa kwenye 30's Unaviacha.
Sisi ambao tunaanza kujipanga kwenye 30' tunatoboa 90 tukivienjoy kwasanaa...
Mshukuru Mungu enjoy kimya kimya, saidia wengine kusimama inapowezekana Mungu humpa yeyote na kumnyanganya yeyote muda anaotaka...
 
Maskini akipata matako hulia mbwata. Utakuta wewe unaishi kwa jamaa na unajifanya unazo. Wenye nazo mwanangu huwa hawasemi
 
Halafu una kufa kwenye 30's Unaviacha.
Sisi ambao tunaanza kujipanga kwenye 30' tunatoboa 90 tukivienjoy kwasanaa...
Mshukuru Mungu enjoy kimya kimya, saidia wengine kusimama inapowezekana Mungu humpa yeyote na kumnyanganya yeyote muda anaotaka...
We ni mungu?
 
Mshamba sana wewe ,wenzako wanamiliki ma mansions na hawana kelele. Leo nikiwa jogging mitaa ya palace hotel Chugga kwa chini pale bank ya CRDB, kwenye ATM nimeona mnyama mpya kabisa akiwa hata hajatolewa karatasi , Jaguar XF. Huna Hela unnamiliki makopo ya kijapan ya 2010 kushuka chini
 
Hiii unasifia mali za mwanaume mwenzako? Au yeye ni mumeo? Nenda akakukule
 

Ushaoa? Maana hakuna anayemiliki chochote kabla ta kuoa na kukaa na mke kwa miaka 10.

Akija mwanamke mchawi, au mshenzy vyote vinaenda, kwa kifupi hapo umiliki kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…