Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BipolarUnaposema mental health sema ni ya aina gani? Bipolar,mania,schizophrenia au ni ipi? Usikalili tu
Dawa yake ni ipi?Bipolar
Moja na weweMademu wakali unao?
Maskini akipata matako hulia mbwata. Utakuta wewe unaishi kwa jamaa na unajifanya unazo. Wenye nazo mwanangu huwa hawasemiAu nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.
Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money 💰 kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die
Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
We ni mungu?Halafu una kufa kwenye 30's Unaviacha.
Sisi ambao tunaanza kujipanga kwenye 30' tunatoboa 90 tukivienjoy kwasanaa...
Mshukuru Mungu enjoy kimya kimya, saidia wengine kusimama inapowezekana Mungu humpa yeyote na kumnyanganya yeyote muda anaotaka...
HermophraditeJinsia YAKO please
SSRI,Anticonvulsant and AntipsychoticDawa yake ni ipi?
Mshamba sana wewe ,wenzako wanamiliki ma mansions na hawana kelele. Leo nikiwa jogging mitaa ya palace hotel Chugga kwa chini pale bank ya CRDB, kwenye ATM nimeona mnyama mpya kabisa akiwa hata hajatolewa karatasi , Jaguar XF. Huna Hela unnamiliki makopo ya kijapan ya 2010 kushuka chiniAu nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.
Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money 💰 kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die
Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
Mshamba sana wewe ,wenzako wanamiliki ma mansions na hawana kelele. Leo nikiwa jogging mitaa ya palace hotel Chugga kwa chini pale bank ya CRDB, kwenye ATM nimeona mnyama mpya kabisa akiwa hata hajatolewa karatasi , Jaguar XF. Huna Hela unnamiliki makopo ya kijapan ya 2010 kushuka chini
Unataka kumuona Mungu ndo akuambie??We ni mungu?
We ni kenge tu , ACHA uchoko mburaaa weweeHiii unasifia mali za mwanaume mwenzako? Au yeye ni mumeo? Nenda akakukule
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.