Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.
Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die
Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni